Msimamo wa Mungu juu ya Mtu kuua mtu mwingine


M

Mlanje

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Messages
138
Likes
13
Points
35
M

Mlanje

Senior Member
Joined May 16, 2013
138 13 35
Yeye Mwenyezi Mungu aliyetuumba anasema mtu yeyote atakaye mwaga damu ya mtu mwingine damu yake mtu huyo itamwagwa na mtu mwingine,sio kwamba atakufa kifo cha kawaida hapana bali atauawa na mtu mwingine kwa kunukuu maneno matakatifu ya Muumba wetu tusome
"Mwanzo 9:6 Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu."
Kwa hiyo wanaoendelea kufanya mauaji ya watu wasio na hatia wawe na uhakika kuwa damu zao pia zitamwagwa,ni hayo tu kwa leo maana mioyo yetu imejaa majonzi poleni wafiwa wote.
 

Forum statistics

Threads 1,273,061
Members 490,262
Posts 30,469,872