Msimamo wa Michael Sata kwa wachina, sisi je?

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,166
Haya ni ya Zambia, Hapa je au ndo ule mtindo wa wachina kuwapiga hata polisi? Au mpaka Ridhwani apigwe ndo tuchukuwe hatua?


LUSAKA
— Zambia's newly-elected President Michael Sata on Monday warned Chinese investors to respect the country's labour laws to avoid bad blood in workplace.

"Your investment should benefit Zambia and your people need to adhere to local laws," Sata told Chinese ambassador Zhou Yuxiao, who paid a visit to the new president at State House. "If they adhere to local laws, there will be no need to point fingers at each other," Sata said.
Sata, who was elected last week, is known for his tough stand against the influx of Chinese investment into the country, particularly in the mining sector, which he says does not benefit the locals.

China has invested an estimated $6.1 billion (4.3 billion euros) into the southern African nation since 2007, equivalent to more than one third of gross domestic product last year. Sata told Zhou that China had been instrumental in developing Zambia in a relationship between the two countries dating back to the 1960s. "Through the visit of President (Hu) Jintao we were given two gifts, and that is a stadium in Ndola and the hospital in Lusaka," Sata said.

Chinese banks and markets have opened on Lusaka's streets, but poor Zambians accuse Chinese companies of importing their own workers and mistreating the locals they do employ. In 2010, two Chinese mine managers were charged with attempted murder for shooting at 11 Zambian workers protesting about poor pay and work conditions. The case strained relations between the locals and the Chinese, and the charges were later dropped.

Source: AFP
 
I hate chinese,we won't develop by involving ourself with chinese,they r the cheapest people in the world!
 
kutoa tamko ni half way to implementation bt not a direct commitment in itself. So let us gv him time may be anaweza kuwa mtekelezaji wa anayoyasema coz wapo wengine hata husema tu ni shida hadi kwanaza wananchi walalamike
 
Mnataka hata kuiga upuuzi. Hata mataifa yaliyoendelea yameshindwa kudhibiti mfumuko wa wachina.
 
Mnataka hata kuiga upuuzi. Hata mataifa yaliyoendelea yameshindwa kudhibiti mfumuko wa wachina.

Kama huo ni upuuzi ustaarabu wako utakuwa mbali sana!
Kupiga askari ni ustaarabu. Wachina kupiga risasi wafanyakazi wao ndo ustaarabu?

Hapa siyo kujenga uadui na wachina, ni kuwaambia wafuate sheria za nchi. Lini umewaona wakitii sheria za nchi? Nafurahia msimamamo na maneno ya Sata kwamba wachina wasiwatendee wa-Zambia yale wasiyoyataka wachina watendewe.

Kama Uchina haitaki machinga wa afrika kwa nini sisi tuwe na machinga wa ki-china?
 
Too early to assess! We did the same after ten days to 100 days. We ended up being story tellers.
 
Bado nafagilia msimamo wa Rais mpya wa Zambia. Wale wanaotaka kuonyesha kwamba hafai angalia msimamo ufuatao ambao kama maamuma wetu wa kule juu wangeuchukuwa, huenda mambo yangekuwa mazuri. Sasa naona eti hata JF kuna wanaoamini Wachina hawakamatiki.

Kwetu naona hata Barrick hawakamatiki, bora wachangie chama tu, inatosha!
---------------------------------

Zambia's new government has suspended metal export permits as it prepares new guidelines for the sector of Africa's biggest copper producer. The decision followed concerns that copper exporters had not been paying their full duties to the state and is seen as an attempt to improve transparency in the industry. But it is also the latest in a number of sweeping measures by President Michael Sata's administration, including the threat of higher mining taxes, as he looks to stamp his mark on the country after winning September 20 elections.

Frederick Bantubonse, general manager at Zambia's Chamber of Mines, the industry body, said he was ‘terribly worried' by the suspension. ‘At the current copper production level, you are talking over 2,000 tons of copper per day … you have contracts with exporters, you have contracts with the transporters,' he said. However, an official at the Ministry of Mines and Minerals Development said the guidelines were merely following a presidential directive that all exports need to be cleared by the central bank."



Source: The Business of Mining
 
Na bado hapa Bongo si wamewapa Wachina liganga na Mchuchuma mtaona mishahara yao ilvyo kiduchu pamoja na unyanyasaji sometime bora hata namakampuni ya kizungu kama Barrick etc tusubiri wafanyakazi kuathirika kwani hawa wachina hata protective gear hawajali kwa wafanyakazi wao,mikataba ya kazi hakuna nashindwa kuelewa kampuni ya kichina isiyojulikana kupewa tenda na kuacha kampuni kubwa kwa uchimbaji kama BHP Billiton
 
Back
Top Bottom