Msimamo wa Mheshimiwa Wenje juu ya Mwenyekiti wa NCCR.

Tatizo lenu ampendi ukweli. Mbatia ni mwenyekiti wa nccr sasa wewe unategemea nini hapo kama mwenyekiti wa nccr bosi wake ni mwenyekiti wa ccm ambaye ndio amempa nafasi hiyo ya ubunge kwa utashi wake wa kisiasa alafu mbatia awe na ujasiri wa kumkosoa kikwete na serikali yake.

mbona huna aibu, kwa hili hata mtoto wa shule ya msingi anakupa jibu sahihi.
 
Safi sana Wenje wembe huo huo, simamia ukweli ukionana nae Bungeni mchane live
 
Vijana wa NCCR Mtwara,walitumwa na maboss wao kumfedhehesha mheshimiwa Wenje kwenye mkutano wa hadhara kwa maswali ya kipumbavu, majibu ya mheshimiwa yaliwafanya kutoka kwa aibu na waliowatuma ndipo walikuja na kauri za kipumbavu eti waombwe radhi, loo!! chezea Wenje wewe!!
 
wabunge wengine vilaza kweli huu ni ujinga kauli aliyotoa anasema ni yake yeye kama yeye ni si chadema wakati huo huo aliyepewa madaraka ni mbatia sasa kwanini ahukumu nccr si angemsema mbatia kama mbatia lakini kwa kuwa yupo upande wa chama chenye nguvu basi imekua nongwa !
Acheni wananchi ndo tupime !
Inawezekana yule diwani mliyetema pale mwanza bado anakuchanganya akili !

Bure mtakunywa sumu mfe huku mnajiona,RIZIKI YA CHADEMA NI PANA,mwanadamu hawezi kuiziba pasi Mola.
 
wabunge wengine vilaza kweli huu ni ujinga kauli aliyotoa anasema ni yake yeye kama yeye ni si chadema wakati huo huo aliyepewa madaraka ni mbatia sasa kwanini ahukumu nccr si angemsema mbatia kama mbatia lakini kwa kuwa yupo upande wa chama chenye nguvu basi imekua nongwa !
Acheni wananchi ndo tupime !
Inawezekana yule diwani mliyetema pale mwanza bado anakuchanganya akili !

Hebu rudia kuisoma hiyo thread vizuri....vinginevyo wewe ndio umedhihirisha ni kilaza mtakatifu.....maana alichoweka sawa wewe ndio umeshindwa kuelewa bado....wapi ameeleza kuishambulia NCCR?
 
nataka nimuone siku ya kwanza bungen braza jemu atakataa upande gani,upande wa mwenyekiti bosi wake,au upande wa wapinzani?kwa kuwa anaenda kumwakilisha mwenyekiti wa ccm yafaa aitwe ccm A negative! Pia hatoweza kushiriki vikao vya wabunge wapinzani,na hatoweza kuingia vikao ya wabunge ccm. Namshauri viikitishwa vikao vya wabunge kivyama,yy asiende ukumbi wa msekwa wala wa kiongoz wa upinzani bali amtafute chibuda wakacheze golf au mchezo wa kufukuza panzi nje mpaka vikao vya wabunge halali vihishe! Mbatia ccm A negative!

hapo kwa shibuda umenena!
Shibuda mbunge wa kujipendekeza Mbatia wa kupendelewa Na ccm!
vikao vyao vitanoga!
 
wabunge wengine vilaza kweli huu ni ujinga kauli aliyotoa anasema ni yake yeye kama yeye ni si chadema wakati huo huo aliyepewa madaraka ni mbatia sasa kwanini ahukumu nccr si angemsema mbatia kama mbatia lakini kwa kuwa yupo upande wa chama chenye nguvu basi imekua nongwa !
Acheni wananchi ndo tupime !
Inawezekana yule diwani mliyetema pale mwanza bado anakuchanganya akili !

soma kwa makini hapo juu,usikurupuke tu.
 
Yuko sahihi Wenje,yule Mkosamali nilimdhaniaga mtu makini kumbe hovyo kabisa no wonder ndo maana anampiga vita hata mwenzie Kafulira

.........ni Mosses Machali na si Mkosamali, lkn hata hivyo Wenje yupo ''clear'' alichosema hakiachi mashaka hata nukta moja; kwani ni uhongo kwamba Mbatia atatakiwa kulipa fadhila kwa Boss wake ndani ya Bunge???
 
Wenje ni jembe la ukweli hao vilaza waache kujisumbua wamuulize waziri wa zamani wa JK {MASHA} alivyo chanjwa vibaya na ilo jembe.
 
Machali alikua hajafanya vichwa vya habari vya magazeti hata siku moja toka awe mbunge, sasa ndo akaona aje hivyo!
Si unajua aliona vijana wenzie kina Zitto, Deo Filikunjombe wametajwa sana, sasa atokeje,ndo akaja kuhara peupe!
Unajua kilaza ni kilaza tu! Hivi Machali anadhani njia sahihi ya kumfanya Wenje aone ukweli ni kuombwa msamaha?!
ama ni kwa huyo bosi wake aliyeteuliwa na rais kuhakikisha anafanya kazi ya wananchi bungeni na sio kulipa fadhila?!
Mdomo unapozidi nguvu ubongo ndo mambo yakuwa hivi!!
 
wabunge wengine vilaza kweli huu ni ujinga kauli aliyotoa anasema ni yake yeye kama yeye ni si chadema wakati huo huo aliyepewa madaraka ni mbatia sasa kwanini ahukumu nccr si angemsema mbatia kama mbatia lakini kwa kuwa yupo upande wa chama chenye nguvu basi imekua nongwa !
Acheni wananchi ndo tupime !
Inawezekana yule diwani mliyetema pale mwanza bado anakuchanganya akili !
Maneno ya mkosaji
 
.........ni Mosses Machali na si Mkosamali, lkn hata hivyo Wenje yupo ''clear'' alichosema hakiachi mashaka hata nukta moja; kwani ni uhongo kwamba Mbatia atatakiwa kulipa fadhila kwa Boss wake ndani ya Bunge???

Nashukuru mkuu kwa kunikumbusha na kuniweka sawa!
 
wabunge wengine vilaza kweli huu ni ujinga kauli aliyotoa anasema ni yake yeye kama yeye ni si chadema wakati huo huo aliyepewa madaraka ni mbatia sasa kwanini ahukumu nccr si angemsema mbatia kama mbatia lakini kwa kuwa yupo upande wa chama chenye nguvu basi imekua nongwa !
Acheni wananchi ndo tupime !
Inawezekana yule diwani mliyetema pale mwanza bado anakuchanganya akili !

Changanya na zako.
 
msiwe mnachangia UJINGA je angeteuliwa mtu toka CDM mngesemaje.Tuache UNAFIKI mbatia ni mzuri na ni muungwana tusimbezze.
 
Back
Top Bottom