Msimamo wa Jeshi la Polisi kufuatia mauaji ya Raia Arusha

Nimependa tamko la polisi! Wameeleweka vizuri sana! Chadema aibu yao!

Aibu ni ya kwako wewe unayeshangilia polisi kuua na ni ya Polisi.Polisi siku zote wao huwa wanajiweka juu ya sheria na hata siku moja hawawezi kuandika taarifa ya kujihukumu kuwa wao wana makosa.

Mbona wana Chadema waliandamana jana bila kuwepo hao Polisi.Kama watu waliandamana hiyo tartehe 5 kwa kilometa moja bila fujo yeyote na ni nani alieanzisha fujo kama sio polisi.Polisi wangewasindikiza tu mpaka NMC na hali ingekuwa shwari.Aibu ni ya Polisi na CCM
 
Msiba tena Mbeya kabla hata siku haijapita tangu kuzikwa wahanga wa Arusha??? Nako pia ni vyama vya upinza CUF, na CHADEMA sio??
 
Hao Polisi na baba yao JK wameshapanic, na watakoma hii ngoma ndio kwanza bado mbichi. :frog:
 
sijasoma bado ila kwa summary yako sijaelewa vifo vya majeraha vinatokanaje na Chadema? Anyway hawakutumia akili ktk kuyakabili maandamano au labda maagizo waliyopewa ni kuwa waue!

Shame on you police and all who supports your inhumane actions!
 
Mbona hatukuwaona juzi kama kweli wanaume? mbona wanatoa tamko baada ya mambo kupoa? kama wanaume kweli na wanawake kweli si wangesema hayo siku ile ya mazishi? pumbafu kabisa, ndo maana ilikosa credit form four, itakaa kurisiti hadi ife

Tulikuwepo tena mngeleta ujinga tungewatoa vikojoleo vyenu! Tulivaa kiraia!
 
jamani naomba mnielekeze namna ya kuikuza hiyo taarifa ili niikuze mwenyewe niisome vizuri, thanks
 
Mliogopa nini mpaka mkavaa kiraia? Mngevaa ile mijezi yenu muone kama msingeitwa buriani hii leo, haya ndo matatizo ya kulindwa na division four za 28, 29, 30.....!? Rudini darasani mkarisiti. Nyambaf
 
Jana tulikua tunawachora tu mnavyo omboleza,mnajiita wapigania uhuru kumbe pimbi tu!
 
Nadhani maoni yangu kwa CDM yanaonekana kueleweka. Jazba inaanza kushukuka na adabu inaoneka. kimsingi ni lazima kutii Serikali iliyopo madarakani. Kama huelewi kuwa tamko la IGP Mwema ni tamko la Serikali na au Tamko la Rais kuwaambia watu wasiwe kafara ya Mbinu za wanasiasa madhara yake ndio hayo. katika thread mojawapo niliandika yafuatayo

"chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".
 
Katika kuonyesha kwamba hawajutii kuua raia wasio na hatia, Polisi wamedai kuwa wataendelea kuua wananchi na wanachama wa chadema watakaoandamana kuipinga serikali ya mafisadi ccm. Kwa mtazamo wangu ni kwamba polisi walitakiwa kuomba radhi watanzania kwa kitendo walichofanya na sio kutisha watanzania. Polisi tambueni kwamba ninyi ni sehemu ya watanzania na msikubali kutumiwa kama toilet paper na serikali ya ccm. Hakuna risasi zitakazoweza kuua wananchi wote. Peoples power!!?

Source please
 
jamani naomba mnielekeze namna ya kuikuza hiyo taarifa ili niikuze mwenyewe niisome vizuri, thanks

Wewe sogeza mouse pointer kwenye atachment mojawapo halafu una -click mara mbili.Utapata view nzuri tu inayosomeka kirahisi.Ukitaka kurudi una click back unasoma nyingine
 
Nadhani maoni yangu kwa CDM yanaonekana kueleweka. Jazba inaanza kushukuka na adabu inaoneka. kimsingi ni lazima kutii Serikali iliyopo madarakani. Kama huelewi kuwa tamko la IGP Mwema ni tamko la Serikali na au Tamko la Rais kuwaambia watu wasiwe kafara ya Mbinu za wanasiasa madhara yake ndio hayo. katika thread mojawapo niliandika yafuatayo

"chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahatkamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa.

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".

Mkuu, hizi hekima zako maridadi sana! Hata hivo, subiri kwanza Chadema wamalize kazi tuliyowatuma
 
Chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda za kuingia IKULU kwa nguvu na umwagaji damu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahakamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Chonde chonde, japo tunajua wazi kuwa KANISA lipo nyuma yenu lakini watanzania wapenda AMANI hatuko tayari kuona kikundi kidogo kikiharibu usalama na amani yetu.
Siku ikifika hayo mahekalu na madhabahu wanayojifichia yatageuka kuwa ndiyo makaburi yenu na yao pia. Rwanda sio mbali na 1994 sio mbali pia. Mtakumbuka kuwa maiti nyingi zilikutwa Makanisani. Tugeuke nyuma na tuangalie wapi tumejikwaa. Akili za kuambiwa changanya na zako!

Naandika haya nikichelea kuwa pasije kusemwa: "HAPAKUWEPO WENYE HEKIMA NDIO MAANA TUMEANGAMIA".
 
We cjui mnyagundu kama kweli mwanaume ilikuwaje uje mkia nyuma?akiri zenu ziko unyayoni na kuanzia sasa nyie ndo mtaanza kuomboleza majambazi nyie
 
polisi wote ni waizi na majambazi, ndiyo maana wanatetea majambazi wenzao waliopo madarakani. uongozi ukibadilika hawatakuwa na nafasi ya kuendelea na ujambazi wao.
 
Chonde chonde wana chadema. someni alama za nyakati. Kama nilivyowahi kusema huko nyuma chadema wametengeneza uadui na mamlaka inayotawala kwa hiyo wasitarajie mteremko katika mambo yao. Inapofikia unasusa hata sherehe za UHURU wa nchi yetu basi jua matokeo ya baadaye na ujiandae vilivyo.

Msitarajie kuwa watakaokufa na kuumia kwa sababu ya propaganda zenu za kuingia IKULU kwa nguvu ni raia wasio na hatia pekee bali hata viongozi , watoto ,wake na au mahawara wao pia yatawapata madhara. Kuweni waangalifu sana na mtii amri/ushauri wa mamlaka inayotawala. Kama kuna mambo hayaendi sawa basi tumieni njia za kistaarabu pamoja na kwenda mahakamani kudai haki. Nabii SULEIMAN alisifika kwa HEKIMA na sio VISASI NA KUSUSA kike kike.

Back
Top Bottom