Msimamo wa Benjamin Netanyahu mwaka 1978 akiwa bado kijana kabisa

... hawa wamebalehe wakipigana vita na wanazeeka wakipiganisha vita!
usijidanganye vita ni ya wote..Tz tupo vitani tangu enzi za ukoloni mpaka dakika hii wewe ndo hauko vitani pole yako..ushindi hutapata km hujui nakupa sasa....
Uchumi ni vita pia.
Umaskini uliokithiri
Ujinga
Maradhi
Umalaya
Kununiana
Kutesana wenyewe kwa wenyewe huyu unamuita hewa unamuondoa kazini bila malipo.
Upendeleo wa wazi km Benki kuu.
Msumbiji.kenya.somalia wanapigana sisi tutoe wapi amani???
Hela hatuna
Tozo kila kona.nk yaani utachoka wewe!
Waisrael haya wao hawana ni bunduki..uvumbuzi wa kurahisisha maisha ya watu Duniani mpaka na maadui wao wanapewa na kula Bata tu baaasi.

Weye unaangalia padooogo sana.
 
Back
Top Bottom