Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Gazeti la Habari Leo limeripoti aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Mjini katoweka katika mazingira tatanishi na kibosile huyu alikwisha kutumiwa sms za kumtishia uhai wake.
Haijulikani amejificha wapi au yapi yamemsibu baada ya kutoweka huku ambako kuna husianishwa na kumtangaza mgombea wa CCM ubunge kuwa kamshinda wa Chadema kwa tofauti ya kura moja tu......................
Ninaomba kuwakilisha......................