Msimamizi wa uchaguzi Shinyanga Mjini atoweka katika mazingira tatanishi............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Gazeti la Habari Leo limeripoti aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Mjini katoweka katika mazingira tatanishi na kibosile huyu alikwisha kutumiwa sms za kumtishia uhai wake.

Haijulikani amejificha wapi au yapi yamemsibu baada ya kutoweka huku ambako kuna husianishwa na kumtangaza mgombea wa CCM ubunge kuwa kamshinda wa Chadema kwa tofauti ya kura moja tu......................

Ninaomba kuwakilisha......................
 
Just one vote!
Huyu mtu ni msomi na ana uzoefu ktk kazi yake lakini bado anakubali kutumiwa na mafisadi
hebu ona sasa anavyohangaika.Ni muda sasa wa tume kuwa huru ili hawa wateule wa Rais
waache kutumika kama wasimamizi wa uchaguzi.Yaani wameiba weeeeeeeeeeeeee mpaka
ikashindikana kabisa wakaona afadhali waweke tofauti ya KURA MOJA!!
Eeeh Mungu isaidie Shinyanga,saidia na majimbo mengine,Isaidie Tanzania.
AMINA...
 
Gazeti la Habari Leo limeripoti aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Mjini katoweka katika mazingira tatanishi na kibosile huyu alikwisha kutumiwa sms za kumtishia uhai wake.

Haijulikani amejificha wapi au yapi yamemsibu baada ya kutoweka huku ambako kuna husianishwa na kumtangaza mgombea wa CCM ubunge kuwa kamshinda wa Chadema kwa tofauti ya kura moja tu......................

Ninaomba kuwakilisha......................

Atapatikana October 2015!
 
Msukuma akisema "....mdizenha tuja..." ujue ni muda wakujiandaa ama kufa au ukajifichie mbali.
 
Tumsamehe huyu jamaa taarifa zilizopo ni kwamba akabla ya kutangaza matokeo hayo walikataa kuwa wanashinyanga hatutawatendea haki kuwapora ushindi, lakini alilazimishwa na makamba na mkuu, kuwa watampa ulinzi .aliwaonya kuwa shinyanga lazima watanimaliza kwani ninaishi nao mitaani wakubwa wake walikataa.sasa mnaona jamaa anateseka wakati wengine wako majukwaani wakiapishwa na ulinzi kedekede.
Wasukuma hawarudi nyuma lazima apotee vingivyo pa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ga shaaaa
 
Nimesikia hiyo habari this morning kuwa jamaa alitangaza matokeo huku akitetemeka na kuonyesha kwamba Mgombea wa CCM alimpita wa CHADEMA kwa KURA MOJA(1)!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Aise lazima WASUKUMA WAMPOTEZE! Sijui atakuwa wapi maskini. Kweli CCM wako tayari kutoa roho ya mtu ilmradi waingie madarakani.
SHAME ON YOU CHAMA CHA MAJAMBAZI-CCM! Pambaf!!!
 
hapo kwenye nyekundu ni kweli???
 
CCM? mmmhhh!!! UHAI??? mmmmmhhh!!!! MADARAKA???? MUNGU anaiona dhambi hii, na kama ameuwawa, ni wazi kuwa DAMU yake itakua juu yao wenyewe!!! No more
 
Kweli kabisa CCM 17,670 CHADEM 17,669. Amini usiamini

Kwa vile matokeo ya Ubunge huwa yanaweza kuhojiwa mahakamani, ni vyema CHADEMA wakafungua kesi mahakamani kupinga hayo matokeo.
Huenda huyu jamaa hajapotea ila anaweza akawa ameshahamishwa na sasa ni mkurugenzi mahali pengine.
Hii inanikumbusha mgomo ulotokea UDSM mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambapo rais wa DARUSO alipotea ili mgomo uishe. Mgomo ulipoisha akaonekana na kuendelea na madaraka. Baadaye akaja akaajiriwa chuoni.
 
Nimesikia hiyo habari this morning kuwa jamaa alitangaza matokeo huku akitetemeka
Nimekumbuka ule mstari wa Biblia Yesu aliposema "Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima". Angekuwa mwaminifu asingehofu kifo. Hata kama walimlazimisha alikuwa na option ya mwisho, kujiuzulu.
 
no kwa nini ajisumbue enda ishi police,yy amuomb jk amuhifadhi tu ikulu pale ulizi 24hrs hakuna cha msukuma wala nani wakumvaa period:smile-big:
 
Kwa vile matokeo ya Ubunge huwa yanaweza kuhojiwa mahakamani, ni vyema CHADEMA wakafungua kesi mahakamani kupinga hayo matokeo.
Huenda huyu jamaa hajapotea ila anaweza akawa ameshahamishwa na sasa ni mkurugenzi mahali pengine.
Hii inanikumbusha mgomo ulotokea UDSM mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambapo rais wa DARUSO alipotea ili mgomo uishe. Mgomo ulipoisha akaonekana na kuendelea na madaraka. Baadaye akaja akaajiriwa chuoni.

Duh, jamaa alikuwa noma yule. Namkumbuka mshikaji noma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom