Ben Bella
JF-Expert Member
- Dec 3, 2019
- 529
- 1,856
Wanabodi, ni matumaini yangu kwamba nyote mko na siha njema.
Kama mada inavyojieleza hapo juu.
Katika majimbo yaliyo mengi hapa nchini, wasimamizi wa uchaguzi wameshalipwa posho zao zote za kiutendaji ikiwemo na zile posho za kufuata na kurejesha masanduku na vifaa vingine makao makuu ya jimbo.
Katika majimbo mengi, kiasi kilicholipwa kwa kazi ya kufuata na kurejesha vifaa ni kama ifuatavyo:
i. Wasimamizi wa vituo Sh. 150,000
ii. Wasimamizi wasaidizi wa vituo Sh. 100,000
Mpaka sasa, wasimamizi wa uchaguzi wa jimbo hili la Tandahimba hawajalipwa wala kupewa maelezo yoyote yale kuhusiana na utaratibu wa malipo hayo.
Hapa kuna dalili ya upigaji kwa maana huyo msimamizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo ana hulka ya 'kupiga'
Tafadhali sana, NEC ingilieni kati suala hili ili hao wasimamizi wapate haki zao.