Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tandahimba hajawalipa wasimamizi posho ya kufuata na kurejesha Vifaa vya Uchaguzi

Mkuu, me sijawahi kusimamia uchaguzi na wala sipo Tandahimba. Hii taarifa nimepewa na rafiki ambaye anaishi huko.

Binafsi sijadurahishwa na uporaji wa demokrasia uliofanywa na hawa manyang'au, hata hivyo nachukia dhulma inayofanywa na huyo msimamizi wa jimbo.

Pia nakutahadharisha uache matusi kwani hata mie natambua kwamba we unakung'utwa kama taulo lililojaa vumbi.
We unakung'utwa eeh?
Tutolee upuuzi wako humu
Si mlisema mitano tena kamshitakie mliyembebea mabegi ya kura
 
Wapuuzi wakubwa, ukiuwa kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga. Wanasema utakula ulipo peleka mboga. Mitano tena.
 
Mkuu, me sijawahi kusimamia uchaguzi na wala sipo Tandahimba. Hii taarifa nimepewa na rafiki ambaye anaishi huko.

Binafsi sijadurahishwa na uporaji wa demokrasia uliofanywa na hawa manyang'au, hata hivyo nachukia dhulma inayofanywa na huyo msimamizi wa jimbo.

Pia nakutahadharisha uache matusi kwani hata mie natambua kwamba we unakung'utwa kama taulo lililojaa vumbi.
Kwenda kafie mbele huko majizi nyinyi.
Mnashiriki wizi kwa sababu ya kupewa laki mbili tatu nyang'au wakubwa ninyi
 
Wanabodi, ni matumaini yangu kwamba nyote mko na siha njema.

Kama mada inavyojieleza hapo juu.

Katika majimbo yaliyo mengi hapa nchini, wasimamizi wa uchaguzi wameshalipwa posho zao zote za kiutendaji ikiwemo na zile posho za kufuata na kurejesha masanduku na vifaa vingine makao makuu ya jimbo.

Katika majimbo mengi, kiasi kilicholipwa kwa kazi ya kufuata na kurejesha vifaa ni kama ifuatavyo:

i. Wasimamizi wa vituo Sh. 150,000

ii. Wasimamizi wasaidizi wa vituo Sh. 100,000

Mpaka sasa, wasimamizi wa uchaguzi wa jimbo hili la Tandahimba hawajalipwa wala kupewa maelezo yoyote yale kuhusiana na utaratibu wa malipo hayo.

Hapa kuna dalili ya upigaji kwa maana huyo msimamizi wa uchaguzi ngazi ya jimbo ana hulka ya 'kupiga'

Tafadhali sana, NEC ingilieni kati suala hili ili hao wasimamizi wapate haki zao.
Subiria 2025
 
Mtakoma nyie ndiyo ambao mmeharibu uchaguzi kabisa
 
Back
Top Bottom