Msikilizeni Gamba Lukuvi akibwabwaja Bunge ni aibu tupu kwa Taifa letu?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Kwa kweli Lukuvu na wenzake ni janga kwa taifa letu, Mungu ebu ona uso wake Mwigulu yupo pale wanatuhadaa. Eti Polisi walizuiwa kumkamata mhalivu wakati Polisi ndio waliwazuia raia kumkamata. Mungu waumbue mchana wauaji hawa. Siwapeni basi tuu.
 
Dau la milioni mia moja atakaetoa taarifa za kumkamata mhalifu.
 
Hongera wabunge wa NCCR kwa miongoze yetu kwa spika, waliberali na nyinyiemu wako kwenye hanimoni.
 
Mwigulu yupo akimsikiliza kwa makini Lukuvu kama vile yeye ndie aliyeandaa tamko lile. Endelee tuu kutuchezea Watanzania maana mwisho wenu waja. Walio na ukweli wa tukio kwa picha ziwekeni kuwaumbua hawa magaidi kama walivyoumbuka kwenye mauaji ya Mwangosi. Halafu eti Chaginja yupo kwenye jopo la uchunguzi kuna kitu hapo?
 
Kwa kweli Lukuvu na wenzake ni janga kwa taifa letu, Mungu ebu ona uso wake Mwigulu yupo pale wanatuhadaa. Eti Polisi walizuiwa kumkamata mhalivu wakati Polisi ndio waliwazuia raia kumkamata. Mungu waumbue mchana wauaji hawa. Siwapeni basi tuu.

Kama polisi walizuiwa kumkamata muhalifu , hao waliowazuia polisi kufanya kazi yao walikamatwa ? CCM shame on you, ukiona mtu mzima kama Lukuvi kiumri anakuwa mjingamjinga kama Zezeta vile ni aibu kubwa kwa taifa kuwa na kiongozi kama yule
 
Hongera wabunge wa NCCR kwa miongozo yenu kwa spika, waliberali na nyinyiemu bado wako kwenye hanemoni.
 
inasikitisha sana....tanzania bado demokrasia ni changa sana
 
Mimi nina uhakika CCM kwa jinsi walivyofanya Arusha baada ya tathimini yao kuwa watashindwa vibaya na hivyo kunyang'anywa umeya na vurugu walizofanya Makuyuni ndivyo hivyohivyo hawako tayari kuona wanashindwa kirahisi 2015 kwa hiyo hii katika mpya ya JK ni geresha tuu hakuna nia njema, Watanzania tuchukue hatua sasa kwa kuwakataa hata kabla ya 2015.
 
Mwigulu ndio anausika na mlipuko haya nipeni mil 10 yangu nitumieni kwenye Hits-pesa 0741012345
 
Haya matukio yote ya mauaji katika chaguzi yamepangwa na serikali yote inajua,naungana na kauli ya mbowe KUB kwamba kulikua hakuna haja ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi kama vyama vinavyokubalika kwa wananchi,wanachama wanauawa kwasababu tu wamekubali kufuata mfumo wa vyama vingi.Kwamfano Baba na mama yangu ni wanachama wa CUF, kaka yangu ni TLP na mimi na wadogo zangu na mke wangu na mwanangu ni wanachama na wafuasi wa CHADEMA.Lakini hatugombani kwamaana TUMEKUBALI KUTOKUKUBALIANA katika vyama.Na nyumbani kwangu napeperusha bendera ya CHADEMA, ofisi nimeweka bendera ya taifa na mezani kwangu ofisini kuna ilani ya CCM kwasababu ni muajiriwa serikalini.Kwenye komputa yangu kuna ilani ya CHADEMA na CUF.Huu ndo ustaarabu wa vyama vingi.
 
hatuna ulinzi sasa tanzania si salama matukio makubwa yanatokea tukiwa na eti wanaojiita wanausalama kumbe ndio wanawalinda wahalifu sasa kila mtu ajilinde.maana hatuon kazi ya huyu anaejiita mkuu wa ulinz na usalama kumbe ni kwa maslai ya ,,,.......
 
Nakubaliana na wewe kabisa kwa hili, sasa tuangalie hatua sahihi ya kuchukua.
Haya matukio yote ya mauaji katika chaguzi yamepangwa na serikali yote inajua,naungana na kauli ya mbowe KUB kwamba kulikua hakuna haja ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi kama vyama vinavyokubalika kwa wananchi,wanachama wanauawa kwasababu tu wamekubali kufuata mfumo wa vyama vingi.Kwamfano Baba na mama yangu ni wanachama wa CUF, kaka yangu ni TLP na mimi na wadogo zangu na mke wangu na mwanangu ni wanachama na wafuasi wa CHADEMA.Lakini hatugombani kwamaana TUMEKUBALI KUTOKUKUBALIANA katika vyama.Na nyumbani kwangu napeperusha bendera ya CHADEMA, ofisi nimeweka bendera ya taifa na mezani kwangu ofisini kuna ilani ya CCM kwasababu ni muajiriwa serikalini.Kwenye komputa yangu kuna ilani ya CHADEMA na CUF.Huu ndo ustaarabu wa vyama vingi.
 
Eti wamezuia kukamatwa kwa mrusha bomu halafu wamegeuza kuwa wananchi ndio waliozuia polisi kumkamata mrusha bomu.
hatuna ulinzi sasa tanzania si salama matukio makubwa yanatokea tukiwa na eti wanaojiita wanausalama kumbe ndio wanawalinda wahalifu sasa kila mtu ajilinde.maana hatuon kazi ya huyu anaejiita mkuu wa ulinz na usalama kumbe ni kwa maslai ya ,,,.......
 
Kidogo inashangaza kuona waziri anasema kuwa polisi walizuiwa kumkamata mtuhumiwa. Maswali ya kujiuliza ni haya.
1. Kisheria, mtu anayemzuia askari kufanya kazi yake hukamatwa yeye na kushtakiwa. Je, polisi waliwakamata hao wahusika?
2. Inawezekana vipi kwa wananchi ambao wamenusurika kifo kuzuia askari wasimkamate aliyerusha bomu na wasihangaike hata kumshika wao nakumpiga? (ni kawaida yetu kupiga watuhumiwa).
3. Nimesoma gazeti la mwananchi asubuhi hii, Mbowe anasema gari yao ilishambuliwa kwa risasi. Kwa maana hiyo baada ya mlipuko, risasi zilifuatia! Nina uhakika kulikua na hali ya taharuki ambayo ilisababisha watu kukumbia kwa hofu na woga! Inawezekana vipi kwenye machafuko ya risasi raia wakasimama ili kuwazuia askari wasifanye kazi yao ya kuwalinda?
Naomba kwa aliye na uwezo wa kufikiri zaidi yangu anijibu maswali hayo!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Maswali magumu majibu rahic, huo ndio mwisho wa nyinyiemu na nyukuvi kufikiri
 
Kuanzia leo nikiwa kwenye mikutano ya Chadema nakaa mbali kabisa na polisi sababu ninazo...!
 
Kwa kweli Lukuvu na wenzake ni janga kwa taifa letu, Mungu ebu ona uso wake Mwigulu yupo pale wanatuhadaa. Eti Polisi walizuiwa kumkamata mhalivu wakati Polisi ndio waliwazuia raia kumkamata. Mungu waumbue mchana wauaji hawa. Siwapeni basi tuu.

...huwa sibabaiki na waropokaji kama hawa ambao utu kwao ni kitu cha baadae maslahi ya chama kwanza,tuwape siku mbili tu watazikana kauli zao kwaaibu kabisa,shame on you cccm...
 
Polisi walikuwa na silaha hao raia waliozuia mhalifu kukamatwa walikuwa na silaha gani?
Kutunga uongo lazima uwe umekamilika kila Sector!
Watanzania walivyokuwa wataalamu wa kuchukua sheria mkononi unazani uyo mrusha bomu angebaki salama apo?
Lukuvi anajua kuwa apa twaongelea vifo vya watanzania na wale 70 waliojeruhiwa then muuaji ndo asindikizwe na raia kutoloka?????
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom