Msikilize Nape akiinadi CHADEMA

Majitu makubwa lakini ni majinga

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ananikumbusha enzi za shule...watoto kula kulala(O-bay,na masaki enzi hizo) walikuwa wambea sana wanapofika mbela ya mabinti, au hata wakiwa nyumbani kwao..walipenda sana tupa majina mabaya na utani mbaya wakidhani utawasaidia kupata mabinti,au hata okoa dada zao..Ila mwisho wa siku walikuwa wakituongezea traffics tuu..Dada zao na hata mambinti wanowashindania wakawa wao ndio watafutaji.Wengine kwa huruma wengine just for curiousity kuhakikisha wanchosema hawa watoto kula kulala.Nape anawaintroducce wana CCM kwa CDM na wananchi wasiopenda siasa nao watakuja sikiliza wazee wa majukwa km akina Lema,sugu,msigwa etc.

Nape ajiuize ni kwa kiasi gani Lema kaongeza washabiki nje ya Jimbo la Arusha tangu CCM waanze mwita,hajasoma,mwizi wa magari,na mengine...?Sasa hivi Lema anaweza sema kitu kikaaminika na watu wengi Tanzania kuliko JK.

Matoto ya mama hovyo sana..anadhani anakimbiza watu kumbe anafanya promo.
 
Huwa sisikilizi huu upumbavu. Lakini leo nimetest zali, aisee kama ndo "think tank za CCM" zinachohubiri ni hatari sana!!!! Hotuba yote ni CDM tuuuuuuu, hajaeleza CCM kwa miaka 50+ ilopita imefanya nini na kwanini ye amekuja na VX v8 wakati wa kina mama wa makambako wameahidiwa BAJAJ ya kupeleka mama mja mzito!!!!! Aiseee M4C tuna kazi kubwa sana!!!!!
 
Vp unatutajia walopokaji a.k.a premature, lema, mcgwa, sugu hawa nao wanawakilisha wananch? Sion wakisemea matatizo ya wananchi zaid ya kuropoka. Unauliza CCM imefanya nin? Mkubwa kichiz hata hujui! Mburula wewe. Sahz unaandika jf bila ccm ungejua kuandika wewe? Ndo sbb hamkubalik, et toka uhuru serikali haijafanya k2!
 
CCM haina cha kumwambia mtanzania, ni uzushi tu. Lakini nawakumbusha tu kuwa ukombozi wa Tanzania ni wa LAZIMA, Tanzania itakapokombolewa na ukombozi uko karibu, watu kama hawa watatafuta pa kwenda
 
Kuna mmoja kule Singapore akiwa na Baba Mwanaasha aka Baba Ritz aka Fast Jet aliambiwa jitambulishe akaanza kuiongelea CDM. Wazee wa Toyota wakawa wanamwita CDM WAKIJUA NI JINA LAKE

unamsema yule aliyekalia kiti cha rais,na kujiona tayari na yeye ni rais
 
Vp unatutajia walopokaji a.k.a premature, lema, mcgwa, sugu hawa nao wanawakilisha wananch? Sion wakisemea matatizo ya wananchi zaid ya kuropoka. Unauliza CCM imefanya nin? Mkubwa kichiz hata hujui! Mburula wewe. Sahz unaandika jf bila ccm ungejua kuandika wewe? Ndo sbb hamkubalik, et toka uhuru serikali haijafanya k2!

Unakuja kwa jazba utadhani una point na matusi kumbe hamna kitu, umeskia anachokiongea Nape kwenye hiyo video au!? au ndo ninyi mkiona kijani na njano akili zinawaruka..!? jibu hoja na sio kuleta mahaba yako..
 
Chama tawala kinapopewa madaraka jicho lake halitakiwi kuondoka katika changamoto zinazowakabili wananchi na ni kama mbio wkt ccm inakimbia na mzigo upinzani wako nyuma bila mzigo ni wepesi,ss ccm wamegeuka na kusahau kuwa wana mzigo macho kwa upinza
 
Kweli Tanzania tuna safari ndefu. Wana CCM wote wamekuwa wanapropaganda. Hivi pale wananchi walikuwa wanashanglia nini?
Mbaya zaidi Nape ananukuu hadi vifungu vya Biblia Takatifu kuhalalisha uozo wao.
Mungu turehemu.
 
Back
Top Bottom