X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
hahaa niko chini ya matendegu yako...lol...wanaume wote wangekua romantic kama huyu yero ingekua safi sana.
hebu tuma na wewe basi clip tusikie ukimulalamikia mama yeyoo malega wako..maana mi nilizani masai kafunika lolX-Paster is more than that... lol!
Bahati nzuri yangu mimi na maiwaifu wangu yanaishia, chumbani maana nikiyaanika hapa naogopa kuvunja nyumba za watu... Wakina'mama na kina dada wakataka mawasiliano nami... sasa inaweza kuwa balaa kwa waume zao...!hebu tuma na wewe basi clip tusikie ukimulalamikia mama yeyoo malega wako..maana mi nilizani masai kafunika lol
hebu tuma na wewe basi clip tusikie ukimulalamikia mama yeyoo malega wako..maana mi nilizani masai kafunika lol
kumbe nyumba zinavunjika kirahisi namna hii.?hongera sana!Bahati nzuri yangu mimi na maiwaifu wangu yanaishia, chumbani maana nikiyaanika hapa naogopa kuvunja nyumba za watu... Wakina'mama na kina dada wakataka mawasiliano nami... sasa inaweza kuwa balaa kwa waume zao...!