Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,859
Mama huyu alikuwa kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyoongozwa na Jaji Joseph Sinde Warioba. Kwasasa, ni Mbunge wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF. Hapa kwenye video anaonekana akichangia Bajeti ya mwaka 2017/2018.
Mama Ngwali huyu hapa:
Mama Ngwali huyu hapa: