Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 153,015
- 453,937
Kwa tigo pesa bwana mangiNatumaje sasa mama?
Kwa tigo pesa bwana mangiNatumaje sasa mama?
Hahahah..Ameomba kazi bbc
Huwezi amini ametoa machozi kama mtoto mdogo
Usisema hatuna pesa, sema sina pesa.Andika alichosema...
Hatuna pesa
HYa andika basi alichosema..Usisema hatuna pesa, sema sina pesa.
Amesomea nini?Yes mwishon alimalizia na hayo maneno
Na akadai hawamlipi vizuri kama bbc wana ajira wamwajiri
Hapa ndo nimegundua kumbe tunaotumia free basics(data ya bila malipo) tupo wengi
UpishiAmesomea nini?
Teh.. Bora abaki wcbUpishi
Teh.. Bora abaki wcb
Mi tooNakumiss
Kwa tigo pesa bwana mangi
Hakika kwa maelezo aliyoyatoa Harmonize ni wazi ameshindwa kuondoka WCB na mimi nasema wazi Harmonize ameshindwa kuondoka kabisa WCB
Naona alifanya haraka sana kutaka kujitoa WCB ndio maana hana majibu kabisa na limekuwa swali baya sana kwake na linamtesa!
Alitakiwa kujipanga kwanza kabla ya kuomba kujitoa WCB.....