Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

Kulupango

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
288
534
Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia.

Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa pili wa urais.
 
Mama Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa pili wa urais.
Hapo haujajibu kiu ya wanaohitaji katiba mpya.Nililolibaini ni weye kutanguliza hofu na mashaka kichwani na moyoni mwako.You are the captivity of your own negativities!
 
Kipindi nchi ina experience a tumultuous period of economic and political change tulikuwa hatuna katiba hiyo?? You are the captives of our own identity.
 
Ilidaiwa mara nyingi ila vibaka wa CCM walijisahau kwamba nchi hii ni ya Watanzania wote.Identity yangu ni jina la ukombozi.Sina negativities za ki-hopeless!
Sasa hao vibaka wa ccm hata hiyo mpya inayoshadadiwa si wataibaka ndugu?. Tuombe uzima ila wamueche Rais afanye kazi kwasasa
 
Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia.

Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa pili wa urais.
Kwamba umeona utushauri kuachana na hii kitu? 😂😂😂!

"Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia."

Seriously?!

Si kwamba:

IMG_20210706_173816_818.jpg

Nakazia: "...... wanatumia mbinu na sababu zozote zikiwamo za kijinga ...."

Hiiiiii bagosha!
 
imeisha hio baba la baba
 
..huwezi kutengeneza watu waadilifu na taasisi imara bila kuwa na msingi au rejea ktk katiba nzuri.

..kwa mfano, huwezi kupata Waislamu imara au waadilifu bila kuwapa miongozi kutoka ktk Koran.
 
Kwamba umeona utushauri kuachana na hii kitu? 😂😂😂!

"Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia."

Seriously?!

Si kwamba:

View attachment 1843436

Nakazia: "...... wanatumia mbinu na sababu zozote zikiwamo za kijinga ...."

Hiiiiii bagosha!
Sijashauri kuachana na hiyo kitu, bali vuguvugu lenu mnataka kumuingiza Rais katika matakwa yenu watu wachache, Rais inaonesha kabisa ana nia njema na nchi yake na pia anaonekatana hayuko katika kupinga katiba mpya, hivyo tumpe muda bado ni mapema kumpa joto hilo.
 
..huwezi kutengeneza watu waadilifu na taasisi imara bila kuwa na msingi au rejea ktk katiba nzuri.

..kwa mfano, huwezi kupata Waislamu imara au waadilifu bila kuwapa miongozi kutoka ktk Koran.
Taasisi imara ndizo zitakazoandamana badala yako pale utakapoporwa haki zako ?
 
Ila katiba yetu iko nyuma sana,ni afadhali aje ledikteta mpya aikanyage katiba mpya na si kuikuta hii platform ya 1977
 
Back
Top Bottom