Ina maana Panya ni mzito kuliko Paka ? Ndio maana nilikimbia hesabu acha tu9+2+6=17
teh labda ni katoto mkuuIna maana Panya ni mzito kuliko Paka ? Ndio maana nilikimbia hesabu acha tu
7+6+4=15 hapo je?Ina maana Panya ni mzito kuliko Paka ? Ndio maana nilikimbia hesabu acha tu
Kubandika namba sio ishu weka njiambwa kilo 8
paka kilo 4
panya kilo 2
hesabu ya mwisho ni 8+4+2=14
Nakubaliana na jibu hilo jibu ni 14mbwa kilo 8
paka kilo 4
panya kilo 2
hesabu ya mwisho ni 8+4+2=14