Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Aisee!!!,Salute Mchungaji Msigwa kwa kumuogopa Mungu kimatendo were proud of you..
obama.png
 
Ngoja watanzania wajifunze sasa kwa miaka hii mitano ya bunge la upande mmoja ! Maybe next time tutajifunza kudai haki zetu maana waliokua wakijaribu waliitwa wasaliti na waliokosa uzalendo , kubwa zaidi waliitwa wachelewesha maendeleo

Huku shutuma hizo zikitoka kwenye chama kilichokaa madarakani tangu uhuru ila watoto wao wanasoma ulaya huku watoto wa wapiga kura wao wakikaa chini kwa kukosa madawati
 
Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.

Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Taasisi yetu imara ya ujasusi ishajifunza, sasaivi kwa anaetangaza nia ya urais, Cha Kwanza watachunguza URAIA wake,MAANA mnaweza mkalaumu kumbe anaewaongoza sio Raia, kwaiyo hana huruma nanyi,

Na fya ya akili, maana kuongozwa na kichaa Ni hatari, na kingine elimu yake.
 
Back
Top Bottom