Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.

Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Kama hadi sasa tunaendelea kuruhusu ccm kutuongoza na huko ndiko alipotoka Mwendazake basi bado sisi ni wapumbavu na tunazidisha kuonekana wapumbavu pale tunapofurahia kufa kwa Mwendazake kanakwamba matatizo yote ya msingi yamekoma baada ya kufa huyo mwendazake.
 
Katika awamu ya tano ya uongozi wa taifa hili, mihimili ya urais na bunge iliongozwa na watu wa ajabu sana kuwahi kupata kutokea toka nchi za Tanganyika na Zanzibar zilivyopata uhuru.
Na wana kinga ya maisha, hawawezi kushtakiwa kwa upuuzi huu walioufanya.
 
Mbona mbowe ,zito waliwahi kushawishi wabunge wajiunge na vyama vyao , Umesahau ,mbona akusema akiwa bungeni
 
Miongoni mwa Watu wachache ninao waamnini sana kwenye siasa za upinzani ni Mch.Msigwa.
Ndugai anainajisi Bunge letu!
Ashtakiwe.
Ni kweli, Ila huyu huyu mchungaji alimuomba radhi KINANA kwa kumsingizia uongo kwa kutumia siasa hizo hizo
 
Back
Top Bottom