Msigwa: Mangula ni ndege chichidodo

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Msigwa: Mangula ni Chichidodo
ameyasema hayo akimlinganisha na ndege aliye tumika kwenye kitabu cha beutiful once are not yet born ambaye alikuwa anakataa kula kinyesi lakini anakula funza wanao kula kinyesi.
sawa sawa na mangula aliye chaguliwa na walarushwa lakini anasema atawatimua walarushwa ndani ya chama, ndani ya miezi 6 tu .
 
bonge la connection Good job,

on a serious note, swala la rushwa ndani ya nchi yetu ni swala la kimfumo zaidi kuliko issue ya mtu mmoja kujitokeza kuwa anaweza kupambana na rushwa. Taasisi dhaifu kama takukuru zimeshindwa kufanya kazi siyo kwa kuwa wahusika hawataki kufanya kazi bali mfumo mbaya wa uwajibikaji unawazuia wahusika kufanya kazi yao mfano mzuri ni aliyeusema hosea, mkurugezi wa takukuru kuwa ukitaka kumkamata mkubwa kwenye swala la rushwa inabidi uandike barua kwa wahusika halafu wahusika wakupe ruhusa kuwafikisha mahakamani.
 
Msigwa: Mangula ni Chichidodo
ameyasema hayo akimlinganisha na ndege aliye tumika kwenye kitabu cha beutiful once are not yet born ambaye alikuwa anakataa kula kinyesi lakini anakula funza wanao kula kinyesi.
sawa sawa na mangula aliye chaguliwa na walarushwa lakini anasema atawatimua walarushwa ndani ya chama, ndani ya miezi 6 tu .
beautiful ones are not yet born
 
Kweli njaa ni mbaya. Mangula kakubali kula matapishi yake yaani waliomkataa hapo mwanzo kwa sasa wanamtaka tena. Aangalie asije akaharibu record nzuri ya utendaji aliojijengea hapo mwanzo
Msigwa: Mangula ni Chichidodo
ameyasema hayo akimlinganisha na ndege aliye tumika kwenye kitabu cha beutiful once are not yet born ambaye alikuwa anakataa kula kinyesi lakini anakula funza wanao kula kinyesi.
sawa sawa na mangula aliye chaguliwa na walarushwa lakini anasema atawatimua walarushwa ndani ya chama, ndani ya miezi 6 tu .
 
Msigwa: Mangula ni Chichidodo
ameyasema hayo akimlinganisha na ndege aliye tumika kwenye kitabu cha beutiful once are not yet born ambaye alikuwa anakataa kula kinyesi lakini anakula funza wanao kula kinyesi.
sawa sawa na mangula aliye chaguliwa na walarushwa lakini anasema atawatimua walarushwa ndani ya chama, ndani ya miezi 6 tu .

Umenikumbusha mbali sana! Chichidodo kwa mujibu wa riwaya ya The beutiful ones are not yet born kilichoandokwa na Kwei Amei anachukia sana kinyesi lakini ni kutoka kwenye kinyesi hicho hicho alikuwa anapenda saana kula funza wanaotoka kwenye kinyesi hicho!
 
Msigwa: Mangula ni Chichidodo
ameyasema hayo akimlinganisha na ndege aliye tumika kwenye kitabu cha beutiful once are not yet born ambaye alikuwa anakataa kula kinyesi lakini anakula funza wanao kula kinyesi.
sawa sawa na mangula aliye chaguliwa na walarushwa lakini anasema atawatimua walarushwa ndani ya chama, ndani ya miezi 6 tu .
Huyu aliteuliwa na si kuchafuliwa maana hakuwa na mpinzani kama utabisha yu tell me alishindana na nani?
 
kweli kaka mangula aache unafiki, yeye si msafi kama ccm isivyo safi, hiyvo msigwa yuko sahihi kabisa huyo mzee ni chichidodo.
 
Msigwa: Mangula ni Chichidodo
ameyasema hayo akimlinganisha na ndege aliye tumika kwenye kitabu cha beutiful once are not yet born ambaye alikuwa anakataa kula kinyesi lakini anakula funza wanao kula kinyesi.
sawa sawa na mangula aliye chaguliwa na walarushwa lakini anasema atawatimua walarushwa ndani ya chama, ndani ya miezi 6 tu .

Msigwa ni mwalimu wa sekondari tu hana jipya yule. Beautiful Ones are not yet BORN ni old book irrelevant to the modern times. U can not change the system if u are not within it unless your employ armed revolution. Mangula kuwemo ndani ya wala rushwa ndo first step ya kuikomesha. Wote mliochangia humu semeni how many times mmekula rushwa au kutoa rushwa? To me Mangula is Odili Samalu and Chadema Leaders are Chief Nangas.
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom