Msigwa: kanuni za wasaliti ni kujiua

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Mh Msigwa akiwahutubia wananchi wa Arusha jana alisema hawawezi kumvumilia msaliti yeyote ndani ya CHADEMA hata ikawa ni yeye ni kukatilia mbali, kwasababu usaliti haujaanza leo ni kuanzia enzi za Yesu na siku zote wasaliti awafanikiwi ndio maana Yuda baada ya kumsaliti Yesu aliamua kujiua ndiyo kanuni za wasaliti kwahiyo msiogope CHADEMA iko imara msisikilize maneno ya magazeti ya CCM habari leo,uhuru,tazama na mtanzania nk.

Tena ninawaomba wana Arusha msinunue hayo magazeti ya CCM wakafungie vitumbua au mnasemaje? Ndioooooooo hatununui kunzia leooo.

attachment.php
 

Attachments

  • arusha 4122013.jpg
    arusha 4122013.jpg
    46 KB · Views: 349
Kweli kabisa kamanda tusinunue magazeti ya habaril eo, uhuru, mtanzania na tazama naunga mkono hoja kwa kuwa haya yote ni magazeti ya mafisadi wanayosababisha na kushabikia kuua upinzani ili maisha yetu yaendelee kuwa magumu sana katika nchi tajiri na wao waendelee kuneemeka shime shime tuyasusie
 
lema_04122013.jpg
Mhe. Godbless Lema akitoa ufafanuzi wa namna jeshi la polisi linavyo tumika kuihujumu chadema kuwa pamoja na kwamba chadema imepeleka majina ya washukiwa watano walioshiriki kuchoma ofisi ya chadema mkoa Arusha lakini polisi ilitoa tamko la kipumbavu haija wahi kutokea bila kuwa hoji walio shukiwa na ukizingatia polisi walichukua finger print lakini hata kabla hawaja zifanyia kazi tayari wakatoa ripoti eti chadema wamechoma ofisi yao wenyewe.. huu ni upumbavu wa kiwango cha juuu sana...
 
Hizi sura zimekomazwa na viroba. nikitazama chap chap Hakuna mpiga kura hapo.

Hebu weka picha ya mama yako hapa tuione alivyokomaa na ugoro, CCM acheni dharau kwa watanzania hawa hawa watanzania mnao wadharau ndiyo wanao changia bajeti ya taifa kwa nafasi kubwa sana tunajua serkali inavyo tegemea bajeti yake vileo halafu unaleta kejeri za kijinga.. kama ungekuwa makini ungeishauri serikali yao ifunge viwanda vya pombe uone kama Kikwete atapata nauri za kuzurura kila kukicha...
Na kwa taarfa yako hao unao waona ndiyo wanyewenye chadema mfano jana waligoma chadema kwenda kukutana na maccm kutafuta mwafaka...
 
Crashwise Hizi sura zimekomazwa na viroba. nikitazama chap chap Hakuna mpiga kura hapo.

uwe na adabu japo kidogo na heshima uweke! Unawanyweshaga wewe hivyo viroba? Na ulitaka wawe wapiga kura wa chama gani? Jiulize wewe kipofu wa fikra mmewafanyia nini watz tangu uhuru zaidi ya kuwaibia tuuuuu! Hizo sura ndo mmetaka ziwe hivyo kwa tamaa zenu na ubadhirifu wenu.
Wapenda demokrasia ya kweli msivunjike moyo na siasa chafu za ccm badala yake tushikamane tuwaonyeshe jinsi ya walivyoshindwa kabla ya 2015.
 
Last edited by a moderator:
Msingwa, nakukubali mbayaaaa kwa point tu umejaliwa mkuu! Unawatingisha vilivyo hao magamba, na wasaliti ndani CDM!
 
Kuanzia leo msinunue haya magazeti ya CCM na vibaraka wao. Hiyo nayo ni mbinu tosha ya kumdhoofisha adui yako
 
Back
Top Bottom