Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Mh Msigwa akiwahutubia wananchi wa Arusha jana alisema hawawezi kumvumilia msaliti yeyote ndani ya CHADEMA hata ikawa ni yeye ni kukatilia mbali, kwasababu usaliti haujaanza leo ni kuanzia enzi za Yesu na siku zote wasaliti awafanikiwi ndio maana Yuda baada ya kumsaliti Yesu aliamua kujiua ndiyo kanuni za wasaliti kwahiyo msiogope CHADEMA iko imara msisikilize maneno ya magazeti ya CCM habari leo,uhuru,tazama na mtanzania nk.
Tena ninawaomba wana Arusha msinunue hayo magazeti ya CCM wakafungie vitumbua au mnasemaje? Ndioooooooo hatununui kunzia leooo.
Tena ninawaomba wana Arusha msinunue hayo magazeti ya CCM wakafungie vitumbua au mnasemaje? Ndioooooooo hatununui kunzia leooo.