Msigwa: kanuni za wasaliti ni kujiua


Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Likes
890
Points
280
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 890 280
Mh Msigwa akiwahutubia wananchi wa Arusha jana alisema hawawezi kumvumilia msaliti yeyote ndani ya CHADEMA hata ikawa ni yeye ni kukatilia mbali, kwasababu usaliti haujaanza leo ni kuanzia enzi za Yesu na siku zote wasaliti awafanikiwi ndio maana Yuda baada ya kumsaliti Yesu aliamua kujiua ndiyo kanuni za wasaliti kwahiyo msiogope CHADEMA iko imara msisikilize maneno ya magazeti ya CCM habari leo,uhuru,tazama na mtanzania nk.

Tena ninawaomba wana Arusha msinunue hayo magazeti ya CCM wakafungie vitumbua au mnasemaje? Ndioooooooo hatununui kunzia leooo.

attachment.php?attachmentid=124990&d=1386244188
 

Attachments:

MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,953
Likes
7,591
Points
280
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,953 7,591 280
Crashwise Hizi sura zimekomazwa na viroba. nikitazama chap chap Hakuna mpiga kura hapo.
 
Last edited by a moderator:
M

mgemamkwezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Messages
446
Likes
0
Points
0
M

mgemamkwezi

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2013
446 0 0
Kweli kabisa kamanda tusinunue magazeti ya habaril eo, uhuru, mtanzania na tazama naunga mkono hoja kwa kuwa haya yote ni magazeti ya mafisadi wanayosababisha na kushabikia kuua upinzani ili maisha yetu yaendelee kuwa magumu sana katika nchi tajiri na wao waendelee kuneemeka shime shime tuyasusie
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
14,290
Likes
4,753
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
14,290 4,753 280
Yeyote mwenye ushahidi wa mimi kuchukua posho za vikao popote pale auweke hadharani na nitawajibika
Mimi na mambo haya ya kuweka Nadhiri nilishakoma kabisa tangu Primary!! Mwisho wake huwa unatesa sana.
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Likes
890
Points
280
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 890 280

Mhe. Godbless Lema akitoa ufafanuzi wa namna jeshi la polisi linavyo tumika kuihujumu chadema kuwa pamoja na kwamba chadema imepeleka majina ya washukiwa watano walioshiriki kuchoma ofisi ya chadema mkoa Arusha lakini polisi ilitoa tamko la kipumbavu haija wahi kutokea bila kuwa hoji walio shukiwa na ukizingatia polisi walichukua finger print lakini hata kabla hawaja zifanyia kazi tayari wakatoa ripoti eti chadema wamechoma ofisi yao wenyewe.. huu ni upumbavu wa kiwango cha juuu sana...
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Love CHADEMA
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,181
Likes
890
Points
280
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,181 890 280
Hizi sura zimekomazwa na viroba. nikitazama chap chap Hakuna mpiga kura hapo.
Hebu weka picha ya mama yako hapa tuione alivyokomaa na ugoro, CCM acheni dharau kwa watanzania hawa hawa watanzania mnao wadharau ndiyo wanao changia bajeti ya taifa kwa nafasi kubwa sana tunajua serkali inavyo tegemea bajeti yake vileo halafu unaleta kejeri za kijinga.. kama ungekuwa makini ungeishauri serikali yao ifunge viwanda vya pombe uone kama Kikwete atapata nauri za kuzurura kila kukicha...
Na kwa taarfa yako hao unao waona ndiyo wanyewenye chadema mfano jana waligoma chadema kwenda kukutana na maccm kutafuta mwafaka...
 
H

hans79

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Messages
3,802
Likes
26
Points
145
H

hans79

JF-Expert Member
Joined May 4, 2011
3,802 26 145
Hizi sura zimekomazwa na viroba. nikitazama chap chap Hakuna mpiga kura hapo.
Unakumbuka hapo chini?

MSALANI 09.34 today.
Siko interested kusoma huu uchochezi.
 
O

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Messages
3,447
Likes
115
Points
0
O

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2012
3,447 115 0
Crashwise Hizi sura zimekomazwa na viroba. nikitazama chap chap Hakuna mpiga kura hapo.
mchango wako unafanana na jina lako
 
Last edited by a moderator:
M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
4,823
Likes
3,108
Points
280
Age
42
M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2013
4,823 3,108 280
Crashwise Hizi sura zimekomazwa na viroba. nikitazama chap chap Hakuna mpiga kura hapo.
uwe na adabu japo kidogo na heshima uweke! Unawanyweshaga wewe hivyo viroba? Na ulitaka wawe wapiga kura wa chama gani? Jiulize wewe kipofu wa fikra mmewafanyia nini watz tangu uhuru zaidi ya kuwaibia tuuuuu! Hizo sura ndo mmetaka ziwe hivyo kwa tamaa zenu na ubadhirifu wenu.
Wapenda demokrasia ya kweli msivunjike moyo na siasa chafu za ccm badala yake tushikamane tuwaonyeshe jinsi ya walivyoshindwa kabla ya 2015.
 
Last edited by a moderator:
msafwa93

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Messages
3,969
Likes
2,910
Points
280
msafwa93

msafwa93

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2011
3,969 2,910 280
Crashwise Hizi sura zimekomazwa na viroba. nikitazama chap chap Hakuna mpiga kura hapo.
Ndo maana tunasema CCM mmeshndwa kutufikisha tutakapo..

Unadhan kama msingekua mafisad tungekunywa viroba.?

Tunakunywa vroba kwasabab pesa zote za kunywa wine zipo uswisi..
 
Last edited by a moderator:
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,848
Likes
10,022
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,848 10,022 280
vijana wengi wa Arusha hadi #lema aje kupigwa chini watakua sana vilema kwa kufuata maandamano ya #lema
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,543
Likes
3,402
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,543 3,402 280
amakweli chadema ni chama kubwa makini ajabu.....
 
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
4,421
Likes
1,879
Points
280
N

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
4,421 1,879 280
Msingwa, nakukubali mbayaaaa kwa point tu umejaliwa mkuu! Unawatingisha vilivyo hao magamba, na wasaliti ndani CDM!
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,141
Likes
1,767
Points
280
Age
48
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,141 1,767 280
chadema ni marehemu
 
Royals

Royals

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Messages
1,442
Likes
38
Points
145
Royals

Royals

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2011
1,442 38 145
Kuanzia leo msinunue haya magazeti ya CCM na vibaraka wao. Hiyo nayo ni mbinu tosha ya kumdhoofisha adui yako
 

Forum statistics

Threads 1,239,189
Members 476,441
Posts 29,345,038