Msigwa.. CCM Wanakwepa kodi za majengo

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Hayo yamesemwa na mbunge wa Iringa Mjini wakati akiwashukuru wana Iringa kwa ushindi alioupata 2015.

Amesema CCM ni wakwepaji wakubwa wa kodi za majengo yao.
 
Last edited by a moderator:
Majengo na viwanja vyote walivyojimilikisha hawalipii kodi.
Kwani vinakamatwa vyama ama wakwepa kodi? hivi sahivi sera za Chagadema ni zipi hasa make tunaona waliokuwa wanashitaki sahivi ndo wanaikimbia sheria wakati sheria ni ile ile ..wanabaki wanalialia makanisani eti serikali inawaonea. Serikali ikuonee wewe nani?
 
Hayo yamesemwa na mbunge wa Iringa mjini wakati akiwashukuru wana Iringa kwa ushindi alio upata 2015.. Amesema ccm ni wakwepaji wakubwa wa kodi za majengo yao..
Magufuri aanze kutumbua hayo majipu
 
Kwani vinakamatwa vyama ama wakwepa kodi? hivi sahivi sera za Chagadema ni zipi hasa make tunaona waliokuwa wanashitaki sahivi ndo wanaikimbia sheria wakati sheria ni ile ile ..wanabaki wanalialia makanisani eti serikali inawaonea. Serikali ikuonee wewe nani?
Wewe hata hujui unacho kiandika na ungekuwa ni mwanangu ningekuwa nakutandika bakola kila asubuhi labda ungepata akili hata kwa kulazimisha
 
Kwani vinakamatwa vyama ama wakwepa kodi? hivi sahivi sera za Chagadema ni zipi hasa make tunaona waliokuwa wanashitaki sahivi ndo wanaikimbia sheria wakati sheria ni ile ile ..wanabaki wanalialia makanisani eti serikali inawaonea. Serikali ikuonee wewe nani?
Hujui unacho andika...ccm inatakiwa kulipa kodi kwa mali zote inazo zimiliki.. ikiwa.pamoja na.viwanja.vya michezo
 
Hivi ni kweli ccm pekee ndio wakwepa Kodi? kumbukeni ya bakwata na badae taasis za kanisa mi nadhani msigwa anapaswa kusema uhalisia mzima wa vyama vya siasa kwani naamini hata cdm kwenye hili hawaruki.
 
Hao ndio ccm bwaaanaa, kila kitu ambacho kinashangaza dunia kwao ni kawaidaa kufanyaa
Hata chadema hawalipi kodi kwenye ofisi yao inayofanana na bafu pale ufipa.

Ndio maana Edo hajawahi kuingia hata siku moja ,hiyo na ofisi
 
Muanze kusema kwanza nyie mnalipia sh. ngapi kile kipugulu chenu Cdm Ufipa
 
Muanze kusema kwanza nyie mnalipia sh. ngapi kile kipugulu chenu Cdm Ufipa
ACT hili haliko kwenye azimio la Tabora au ACT imekufa na waanzilishi mumerudi Lumumba kuendelea na majukumu?
Lah! Haki ya nani wallah! Muziki waweza kuwa mmoja lakini uchezaji tofauti, huyu Kiwazenza, mwngine ndombolo ya solo na hata akina MOTOCHINI wao wakunguta Tokomile!
 
Hivi ni kweli ccm pekee ndio wakwepa Kodi? kumbukeni ya bakwata na badae taasis za kanisa mi nadhani msigwa anapaswa kusema uhalisia mzima wa vyama vya siasa kwani naamini hata cdm kwenye hili hawaruki.
Mkuu kwa taarifa yako chama chochote cha upinzani kikijaribu hata kwa bahati mbaya kukwepa kodi kwa serikali ya ccm basi huo ndio utakuwa mwisho wa chama hicho hapa tanzania
 
Back
Top Bottom