Msigwa anaongea Mada Moto Channel Ten

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Msikilize nasaha zake sasa hivi. Ana neno kwa ukimya wa viongozi wa dini wakati democrasi na uhuru wa bunge, uhuru wa kutoa mawazo mradi hawavunji sheria vinasiginwa na serikali. Sikiliza.
 
Kuliko kumsikiliza msigwa bora huo muda niende nikatafute chakula ya watoto.
Nilishawahi kumsikiliza ile siku akihojiwa na Sam Mahela mpaka kesho naukumbuka ule muda wangu nilioupoteza bure kumsikiliza mtu asiyejua kujenga hovyo,hapendi kusoma na hana data kabisa kichwani.
 
Yaani wewe chakula ya watoto inapatikana ukitoka? Usipotoka hamwendi toilet.
 
Kuliko kumsikiliza msigwa bora huo muda niende nikatafute chakula ya watoto.
Nilishawahi kumsikiliza ile siku akihojiwa na Sam Mahela mpaka kesho naukumbuka ule muda wangu nilioupoteza bure kumsikiliza mtu asiyejua kujenga hovyo,hapendi kusoma na hana data kabisa kichwani.
we una data?
 
Hata mimi maana leo kafunguka anasema bila Magufuli nchi ingeuzwa. Anapongeza jitihada za Rais ktk kupambana na uhujumu uchumi na kwamba kwa sasa ujangili umepungua
Mimi nikimkumbuka Yule mkurugenzi wa wanyapori ambaye mtoto wake kaoa kwa EL , na alikuwa na nguvu wizara ya mali asili kuliko waziri , basi najua nchi ilikuwa inaelekea wapi
 
Mim nishaona wapinzani hawawez ni maneno tu tunataka vitendo bana
 
Back
Top Bottom