CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Msikilize nasaha zake sasa hivi. Ana neno kwa ukimya wa viongozi wa dini wakati democrasi na uhuru wa bunge, uhuru wa kutoa mawazo mradi hawavunji sheria vinasiginwa na serikali. Sikiliza.
Nadhani yeye mwenyewe akapimwe kwanza akilimsigwa..." atakayemshabikia lowassa akapimwe akili..."
Tushatoka huko mkuumsigwa..." atakayemshabikia lowassa akapimwe akili..."
Hata mimi maana leo kafunguka anasema bila Magufuli nchi ingeuzwa. Anapongeza jitihada za Rais ktk kupambana na uhujumu uchumi na kwamba kwa sasa ujangili umepunguaMh.Rev.Msigwa namkubali sana.
Kuliko kumsikiliza msigwa bora huo muda niende nikatafute chakula ya watoto.
Nilishawahi kumsikiliza ile siku akihojiwa na Sam Mahela mpaka kesho naukumbuka ule muda wangu nilioupoteza bure kumsikiliza mtu asiyejua kujenga hovyo,hapendi kusoma na hana data kabisa kichwani.
we una data?Kuliko kumsikiliza msigwa bora huo muda niende nikatafute chakula ya watoto.
Nilishawahi kumsikiliza ile siku akihojiwa na Sam Mahela mpaka kesho naukumbuka ule muda wangu nilioupoteza bure kumsikiliza mtu asiyejua kujenga hovyo,hapendi kusoma na hana data kabisa kichwani.
Mimi nikimkumbuka Yule mkurugenzi wa wanyapori ambaye mtoto wake kaoa kwa EL , na alikuwa na nguvu wizara ya mali asili kuliko waziri , basi najua nchi ilikuwa inaelekea wapiHata mimi maana leo kafunguka anasema bila Magufuli nchi ingeuzwa. Anapongeza jitihada za Rais ktk kupambana na uhujumu uchumi na kwamba kwa sasa ujangili umepungua
Hiyo recorded ya Jana usiku
Ni kweli mkuu hata mimi nimeiona leoYes lkn jana wengine hatukuona