Katika wakati ambao wabunge bila kujali itikadi zao wako na hekaheka za kutaka waziri mkuu mawaziri waliosababisha madhara kwa wananchi kupitia oparesheni tokomeza wajiuzuru, Mbunge wa Iringa Mchungaji Peter Msingwa amelitaka bunge eti liwaombe radhi waliowahi kuwa mawaziri wa serikali ya JK Ndg. Maige na Ngereja. Anasema hawakupaswa kuondolewa bila makosa. Anasema Maige hakwenda mbugani kubeba twiga.
Tafakari, chukua hatua. Angekuwa sio swahiba wa Mbowe habari zingeshaenea kuwa anatumiwa/amehongwa na CCM.
Tafakari, chukua hatua. Angekuwa sio swahiba wa Mbowe habari zingeshaenea kuwa anatumiwa/amehongwa na CCM.