Msigwa analitaka bunge kuwaomba radhi Maige na Ngeleja

Kada Deya

Senior Member
Nov 8, 2011
152
195
Katika wakati ambao wabunge bila kujali itikadi zao wako na hekaheka za kutaka waziri mkuu mawaziri waliosababisha madhara kwa wananchi kupitia oparesheni tokomeza wajiuzuru, Mbunge wa Iringa Mchungaji Peter Msingwa amelitaka bunge eti liwaombe radhi waliowahi kuwa mawaziri wa serikali ya JK Ndg. Maige na Ngereja. Anasema hawakupaswa kuondolewa bila makosa. Anasema Maige hakwenda mbugani kubeba twiga.

Tafakari, chukua hatua. Angekuwa sio swahiba wa Mbowe habari zingeshaenea kuwa anatumiwa/amehongwa na CCM.
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
22,794
2,000
aanze kwanza RAIS kumuomba msamaha LOWASSA ndo wengine wafuate..
 
STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,765
2,000
Katika wakati ambao wabunge bila kujali itikadi zao wako na hekaheka za kutaka waziri mkuu mawaziri waliosababisha madhara kwa wananchi kupitia oparesheni tokomeza wajiuzuru, Mbunge wa Iringa Mchungaji Peter Msingwa amelitaka bunge eti liwaombe radhi waliowahi kuwa mawaziri wa serikali ya JK Ndg. Maige na Ngereja. Anasema hawakupaswa kuondolewa bila makosa. Anasema Maige hakwenda mbugani kubeba twiga.

Tafakari, chukua hatua. Angekuwa sio swahiba wa Mbowe habari zingeshaenea kuwa anatumiwa/amehongwa na CCM.

Weka content Nzima, usilete habari nusu nusu.., Huo ndiyo tunauita umbeya wa hali ya juu sana.
 
mzeelapa

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
1,080
1,500
Mchungaji, mchungaji..sasa hivi utaitwa pandikizi wa CCM. Yatakupata ya ZZK ikizingatiwa uko kwenye kamati....wee haya!!!
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,110
2,000
Achana na issue ya watu kuuwawa kuna issue ya mbowe kutumia pesa za umma na kimada wake.

Alichokuwa anafanya Mbowe na huyo Kimada wake, baba yako na mama yako wasingekifanya usingekuwa hapa unakesha JF kwa malipo ya elfu saba.

Kuwa na nidhamu.
 
Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
550
195
Katika wakati ambao wabunge bila kujali itikadi zao wako na hekaheka za kutaka waziri mkuu mawaziri waliosababisha madhara kwa wananchi kupitia oparesheni tokomeza wajiuzuru, Mbunge wa Iringa Mchungaji Peter Msingwa amelitaka bunge eti liwaombe radhi waliowahi kuwa mawaziri wa serikali ya JK Ndg. Maige na Ngereja. Anasema hawakupaswa kuondolewa bila makosa. Anasema Maige hakwenda mbugani kubeba twiga.

Tafakari, chukua hatua. Angekuwa sio swahiba wa Mbowe habari zingeshaenea kuwa anatumiwa/amehongwa na CCM.

huyo ndo mchungaji Msigwa bwana
 
Chris Lukosi

Verified Member
Aug 23, 2012
4,584
2,000
Watuambie kwanza hela zetu za ruzuku ziko wapi?

Sio babu na dj waachwe wakitanulia hela zetu huku wananchi wanalalia viroba
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
11,522
2,000
Achana na issue ya watu kuuwawa kuna issue ya mbowe kutumia pesa za umma na kimada wake.

Mkuu kila cku kujadili mambo binafsi ndo kunaifanya NCH hii ikwame! kwanini 2cjadili namna gani tutawasiadia waTZ wenze2 nao wafanikiwe Maisha Binafsi ya m2 yanamsaidia nn mTZ wa huko Kjjn!
 
Kada Deya

Senior Member
Nov 8, 2011
152
195
Alichokuwa anafanya Mbowe na huyo Kimada wake, baba yako na mama yako wasingekifanya usingekuwa hapa unakesha JF kwa malipo ya elfu saba.

Kuwa na nidhamu.

Duh! Tumezowea kuona wanachadema ya zamani wakijenga hoja, wakijibu hoja kwa hoja. Chadema ya sasa chini ya wafuasi wa mbowe ni matusi kwenda mbele.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom