Msigwa alisomea wapi uchungaji?

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!
 
rudisha rambirambi.......mzee..mchungaji anakuhusu nini beba box huko..
 
Sasa kama unamfahamu toka enzi hizo kwanini usitafute kujua na hilo?
 
Nenda bungeni kamuulize.

Zaidi tunafuatilia issue ya watanzania kuuawa na watawala wa nchi.
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Wewe ni Kubwa Jinga
Kaa na ujinga wako, bora kubrush viatu kuliko kulala sebuleni kwa dada yako.Watu wanajadili issue wewe uko busy na watu...hovyo kabisa.
 
Nilikuona dar kama wewe, hivi upo TZ sasa nikupeleke kwa msitu wa kalembo kwenye mizimu, morogoro ilikurudi UK uwe na akili, hekima na utasi uliotukuka
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

ha ha! ngoja waje...!
 
Ndugu zanguni,

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

JITAMBUE!

Kama unamfahamu kama ulivyojitapa usingekuwa unauliza kasomea wapi? Njia ya muongo fupi!
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!
Mods, wameamua wawe wanakuacha ili jamii izidi kutambua upeo wako.

Endelea, historia itakuja kukushitaki...
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

Lukosi propaganda zako siku zote hazina madhara,endelea kupaka rangi upepo.michango ya mjane itakusema mwanzo mwisho
 
kaka sio vizuri kuonyesha dharau kwa binadamu mwenzio.Nimesema ivyo kwa kuwa unafananisha mtu na jiwe ili hali mtu ana uwezo zaidi ya jiwe.pili nadhani ningetegemea kabla hujaleta hii mada uwe umepitia CV yake ambayo iko kwenye website ya Bunge lakini hujafanya hivyo.Ni vyema ungelifanya utafiti kidogo then ukimaliza ndo uleta mada hapa.
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!
 
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!

wewe ujuzi wa kubeba mabox ulisomea wapi? au utaalamu wakuficha pipi umesomea wapi?
 
Why are u nagging our pastor.....kwan we mchungaj wako ni nan na anasifa zip, kwa uwelewa wako nin maana ya mchungaji?
 
1240627_564581813589136_551804437_n.jpg

graduation day

1234896_565030846877566_1888764154_n.jpg

siku ya mahafali nilipo maliza degree
Ndugu zanguni,

Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.

Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.

Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.

Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?

Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?

Aliteuliwa na nani?

Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze

JITAMBUE!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom