nobykah
Member
- Feb 8, 2017
- 54
- 27
Kwanza nipende kuwapongeza wanafunzi wote mliochaguliwa UDSM, na pia niwape pole kwa changamoto za ugeni na 'jokes' kutoka wanafunzi wazoefu
Dhumuni la kuandaa uzi huu ni kuwataka mjitafakari na kuchukua maamuzi sahihi
Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, chuo kikuu cha Dar es salaam, kimekuwa kikidahili wanafunzi wachache (chini ya 10000), pia kwa kipindi hicho ,ufaulu wa wanafunzi umekuwa ukishuka,na kufikia kipindi ,wana standardise matokeo ili kupunguza idadi ya wanafunzi wanao-disco,.Lakini kwa mwaka huu chuo kimedahili idadi kubwa kufikia 12000,
Kwa mtazamo wangu , chuo kikuu kinataka kurejesha heshima yake kama ilivyokuwa zamani.wanatakak kupunguza standardization il kuwa na best graduate kwa miaka ijayo.
Ombi langu, kwa kipindi chote cha masomo yenu jitahidini kuwa na bidii ili msipitiwe na lungu la " kudisco" kwa maana hakutakuwa na ' kudekezwa tena.
Vikao vingi vilishakaa kujadiri swala hili kwa muda mrefu.ASANTENI
[HASHTAG]#Ningependa[/HASHTAG] kuomba radhi kwa uzinhuu kujipost kabra ya kukamilika. Asanteni