Msifie mtu yeyote wa JF na useme kwanini

Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
35,464
2,000
Mimi naona kubadili ID ni maamuzi ya mtu binafsi. Mimi humu JF nimewahi mshawishi mtu mmoja tu abadili id na akakubali lakini mimi nilimpa sababu za msingi hadi akanielewa.

Lakini tofauti na hapo naamini mtu hapaswi kulazimishwa kubadili id. Sijui labda jaribuni kumpa sababu za msingi atawaelewa (kushindwa kuiona hiyo R sidhani kama ni sababu).

Hata hivyo siyo mbaya maana huyo jamaa mwenyewe mwenye hilo jina middle name yake inaanzia na P. Kwahiyo hata akitoa R akaweka hiyo P bado itamake sense japo ni maamuzi yake.
Hivi kwani yeye mwenyewe anasemaje?
 
Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
35,464
2,000
Shida ni pale watu wanapo-fall in love na hizi picha za kufikirika walizojijengea kwenye bongo zao

Mostly hizo picha sio sahihi

Ukija kumuona mtu physically ndio ukweli unajulikana

Hizi picha mnazojenga kwenye bongo zenu hua ni mtu unatamani awe,ni mtu wa your own creation

Kwenye blogosphere humpendi au kumchukia mtu maana huwajui physically,unachukia au kupenda anachoandika au kufanya online

Humu watu wana-fall in love na characters vichwani mwao which is a desease

Na ikiendelea utakuja kuona watu huku nje physically hawana quality ya wale characters wao wa kufikirika unao ongeaga nao huku kwenye blogosphere

Itafika pahala utakua detached na watu wa reality huku nje kabisa
Umeongea vizuri.
Nini kifanyike kukomesha huu ugonjwa?
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,562
2,000
Umeongea vizuri.
Nini kifanyike kukomesha huu ugonjwa?
Be romantic realist

Fall in love na watu unao wajua physically

Sio watu ulio wajengea taswira za kufikirika kwenye ubongo kwa kuona mwandiko au avatar au ID!

Otherwise ni fiction na ikienda to the extreme utapata love distress na real alienation from the real people surrounding you in the real environment!
 
Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
35,464
2,000
Be romantic realist

Fall in love na watu unao wajua physically

Sio watu ulio wajengea taswira za kufikirika kwenye ubongo kwa kuona mwandiko au avatar au ID!

Otherwise ni fiction na ikienda to the extreme utapata love distress na real alienation from the real people surrounding you in the real environment!
Sawa mkuu.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
44,543
2,000
Mimi naona kubadili ID ni maamuzi ya mtu binafsi. Mimi humu JF nimewahi mshawishi mtu mmoja tu abadili id na akakubali lakini mimi nilimpa sababu za msingi hadi akanielewa.

Lakini tofauti na hapo naamini mtu hapaswi kulazimishwa kubadili id. Sijui labda jaribuni kumpa sababu za msingi atawaelewa (kushindwa kuiona hiyo R sidhani kama ni sababu).

Hata hivyo siyo mbaya maana huyo jamaa mwenyewe mwenye hilo jina middle name yake inaanzia na P. Kwahiyo hata akitoa R akaweka hiyo P bado itamake sense japo ni maamuzi yake.
:oops::oops:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom