Msife kihoro:Kidumu chama fulani!!!!!


Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,547
Likes
624
Points
280

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,547 624 280
Nyoka wa mdimu hao.

Hicho chama inabidi kukiogopa kama Ukoma kwa sasa hadi hapo kitakaposafishwa.

Ukiingia pekupeku kuchuma ndimu, mhhhhhhhhhh ataku-MEMBE.

RoughGreenSnake01.jpg
 

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,172
Likes
4,531
Points
280

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,172 4,531 280
20101204072957_803d052mlid_1_.jpg

Wat wafe kihoro tu!
Huyu dada wa chama fulani anakutumia salamu, maisha si kukunjiana ndita!Take it easy chums!!!
Gwaki una utani weye! umemaliza kabisa hapa! LOL!

Nyoka wa mdimu hao.

Hicho chama inabidi kukiogopa kama Ukoma kwa sasa hadi hapo kitakaposafishwa.

Ukiingia pekupeku kuchuma ndimu, mhhhhhhhhhh ataku-MEMBE.

RoughGreenSnake01.jpg
Hakisafishiki mtu wangu! kila mmoja anamtumpia mpira mwenzake kama Adamu alivyosema ni Hawa kasababisha yeye akala tunda!
 

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
4,027
Likes
470
Points
180

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
4,027 470 180
Gwaki una utani weye! umemaliza kabisa hapa! LOL!Hakisafishiki mtu wangu! kila mmoja anamtumpia mpira mwenzake kama Adamu alivyosema ni Hawa kasababisha yeye akala tunda!
Mkuu Waberoya tukomae tu kwa kwenda mbele,ninaloliogopa ni hilo joka la mdimu,aliyelileta kwanza kakatika mkono,pili kaondolewa mjengoni kabsaa!!
Kidumu chama fulani!
 

Forum statistics

Threads 1,204,968
Members 457,641
Posts 28,178,263