Msifadhaike wala msife moyo na kukata tama,bali enendeni kwa ujasiri mkiyatafakari maneno haya

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
"Kadri wao wanavyozidi kukata tamaa, ndivyo kadri kwetu tabu na mateso vinavyozidi kuongezeka;kadri tabu ma mateso vinavyozidi kuongezeka, ndivyo kadri maumivu nayo yanavyozidi kuongezeka;kadri maumivu yanavyozidi kuongezeka,ndivyo kadri nasi tunavyozidi kutafuta dawa; kadri tunavozidi kutafuta dawa, ndivyo kadri dawa inavyokaribia kupatikana; na dawa ikipatikana,basi huo ndio utakuwa mwisho wao."

Kila kitu huwa na makusudio yake; vivyo hivyo, hata tabu na mateso huwa vina makusudio yake.

Hawajui walitendalo maana wamenyimwa maarifa.

Enendeni kwa amani na ujasiri maana hakika siku hiyo inakuja.
 
Nyie ndio mnawapa MAUMIVU wanachama wenu kwa kuwajazia majizi huko chamani
 
With all this extra stressin'
The question I wonder is after death, after my last breath
When will I finally get to rest through this oppression?

They punish the people that's askin' questions
And those that possess steal from the ones without possessions
The message I stress: to make it stop, study your lessons
Don't settle for less, even the genius asks his questions

Be grateful for blessings
Don't ever change, keep your essence
The power is in the people and politics we address

Always do your best, don't let the pressure make you panic
And when you get stranded
And things don't go the way you planned it
Dreamin' of riches, in a position of makin' a difference
Politicians are hypocrites, they don't wanna listen
If I'm insane, it's the fame made a brother change
It wasn't nothin' like the game; it's just me against the world
 
Rekebisha kiswahili mkuu. Neno kadri umelitumia ndivyo sivyo. Linganisha na mfano huu:
"Kadri unavyozidi kupanua, ndivyo wanavyozidi kutamani"
"Kadri wao wanavyozidi kukata tamaa, ndivyo kadri kwetu tabu na mateso vinavyozidi kuongezeka;kadri tabu ma mateso vinavyozidi kuongezeka, ndivyo kadri maumivu nayo yanavyozidi kuongezeka;kadri maumivu yanavyoongezeka,ndivyo kadri nasi tunavyozidi kutafuta dawa; kadri tunavozidi kutafuta dawa, ndivyo kadri dawa inavyokaribia kupatikana; na dawa ikipatikana,basi huo ndio utakuwa mwisho wao."

Kila kitu huwa na makusudio yake; vivyo hivyo, hata tabu na mateso huwa vina makusudio yake.
 
Mkuu afya ya upinzani kwa vyama vikuu Chadema na CUF,sio nzuri ukilinganisha na mwaka mmoja uliopita.Hiyo dawa ni ya kutuliza homa kwa sasa hivi lakini sio antibiotic uliotumwa na wananchi.
Mazingira ya siasa nayo yana utata,mikono ya sheria inawaandama.
 
Wakati maeneo mengine wanakaribisha uwekezaji nyie mnakaribisha majizi na mapiga hela,
 
Back
Top Bottom