Msifadhaike mioyoni mwenu mkimwamini mungu niaminini na mimi!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,132
17,109
Ndugu yangu mpendwa
maneno hayo yesu akiwapa wanafunzi wake..yawezekana umekuwa na mfadhaiko
wa kila aina ,,umekuwa na shida mbali mbali magonjwa,ajira,biashra zako aziendi
sawa...umewaza mpka kumkosea mungu na kusema je mungu anioni ama lah

ndugu mpendwa yesu anakupenda sana sana ,umeomba sana sana yesu amesikia sauti
yako asbhya leo napenda nikuhakikishie kama unamwamini mungu unamwamini na yesu
akuna kinachoshindikana kamwe..ulie nae ni zaidi ya matatizo ulikuwa nayo

yer 31:16 inasema
bwana mungu asema hivi zuia sauti yako usilie na macho yako yasitoke machozi maana kazi yako
itapata thawabu nao watakuja tena toka nchi ya adui

yoh 16:20
amin amin nawaambia ninyi mtalia na kuomboleza bali ulimwengu utafurahi ,ninyi mtahuzunishwa lakini huzuni yanu itageuka kuwa furaha...yamkini umekuwa ukihuzunika na ndoa yako ..umekuwa ukipata kazi ukai muda unafukuzwa ama unaacha..umetafuta watoto kwa muda mrefu umekataa tamaa ninao ujumbe wa leo yesu anakwenda kumaliza tabu
uliokuwa nayo ...mungu ni mungu wa awote wenye nguvu....endelea kumtumaini kuishi katika mapenzi yake ndugu mwenzangu natumaini wikii hii itakuwa wiki ya ushuhuda kwako...kama umetafuta ajira yesu ni mwajiri atakupa kazi amini ukapate..mungu awabari na kuwalinda katika kuanza kwa wiki hii

mbarikiwe katika jina la yesu
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,334
Amen, kwa neno la Mungu mkuu.......................
Mungu akubariki na akupe mkate wako wa kila siku na asikusahau kwenye ufalme wake wa milele.......
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,132
17,109
amen, kwa neno la mungu mkuu.......................
Mungu akubariki na akupe mkate wako wa kila siku na asikusahau kwenye ufalme wake wa milele.......

amen amen mkuu same to you
yoh 16:22 ikawe juu yaako na familia yako mungu akubariki kwa kututia moyo kuendeleza kazi yake hapa duniani
tukisubiria utukufu wake siku ya mwisho,,
 

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,793
36,847
Pdidy umeifanya siku yangu iwe njema mwanangu. ila hilo la ndoa ndo limeshindikanaga. Barikiwa, Barikiwa, Barikiwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom