msichana wa urembo kama wewe Lady doctor

Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22). Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)

Nimekuelewa mkuu, lakini sina dada wala mke humu ndani na sidhani hata kama kuna ndg wa damu pia, ila hayo ni maneno kama unavyoona yanaonesha yanapotoka, na huko yanapotoka ndiko asili ya ndoa yaani ndoa ya kwanza kati ya Adamu na Hawa, na kwa kifupi napenda kuona muunganiko sahihi wenye nia na mapenzi ya kimungu, ni hivyo tu mkuu .
 
vizuri sana ila umeshakaguliwa wewe?
 
vizuri sana ila umeshakaguliwa wewe?

Swala la ukaguzi lilikuwa na thread yake na hadi chumbani nakumbuka tuliingia mimi nawe tukamalizana, nashangaa tena unalianzisha huku.

Mambo makubwa kama hayo yanazungumzwa kwa faragha kama tulivyofanya jana mimi nawe, ndio maana hata leo nilipoona huo wimbo kwamba msichana wa urembo kama Lady doctor ya kwamba hana mume, nikasema acha nimuite mwenyewe aje atoe ushuhuda, maana haiwezekani kwa ukaguzi wote uliofanya usijichagulie mwenyewe tena kilicho kinono.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom