msichana wa urembo kama wewe Lady doctor

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,401
2,333
msichana wa sura nzuri Lady doctor
kitu gani kinakufanya usiolewe

elimu unayo ya kutosha
hata ng'ambo ukaenda ukarudi

msichana wa urembo kama wewe Lady doctor
uonyeshe mapenzi kwa vijana kama Chimbuvu

ukionyesha majivuno kwa vijana kama manoah
utazeeka ukiwa nyumbani kwenu

ooh baby, miaka yaenda mbio sana
na sura yako nayo ikichuchuka

ooh baby, miaka yaenda mbio sana
na sura yako nayo ikichuchuka

pengine tabia zako ndizo mbaya
awali kweli dada ulijivuna

kwanza Arushaone alitaka akuoe
ukaringa ati hana masomo babu Bishanga ndio rika lako

ooh baby, ona watoto wa nyuma yako Passion Lady, mimisa
wameolewa wamekuwacha ukihangaika

ooh baby, ona watoto wa nyuma yako
wameolewa wamekuwacha ukihangaika

msichana wa sura nzuri
kitu gani kinakufanya usiolewe

elimu unayo ya kutosha
hata ng'ambo ukaenda ukarudi
 
Last edited by a moderator:
Dah kitu kimetulia sana, lakini Lady doctor majuzi alikuwa na majukumu mazito, japo sijui nani alimkabidhi ya kukagua watu wa jinsi ya Me, nadhani baada ya ukaguzi wa kina alioufanya atakuwa kwenye mazingira mazuri ya kujitangazia wake mwandani kama kweli alikuwa hana kama unavyosema mkuu Chimbuvu.

Acha tusimsemee, nadhani ataitika wito mwenyewe na kulitolea ufafanuzi wa kina
 
Last edited by a moderator:
dah kitu kimetulia sana, lakini lady doctor majuzi alikuwa na majukumu mazito, japo sijui nani alimkabidhi ya kukagua watu wa jinsi ya me, nadhani baada ya ukaguzi wa kina alioufanya atakuwa kwenye mazingira mazuri ya kujitangazia wake mwandani kama kweli alikuwa hana kama unavyosema mkuu chimbuvu.

Acha tusimsemee, nadhani ataitika wito mwenyewe na kulitolea ufafanuzi wa kina

mbona nakufananisha una dada yao humu?
 
Boni!!!!????? Tala ngai, kuanzia juu mpaka chini, am stil elenge mwasi kitoko hapana chezeiya mimi kabisaa.
Nimekuchuna sasahivi unajidai kulialia leka kabisaa....... Am after mbongoo,,,,,, zikiisha tupa kule maswala ya kugandana kwa shida na raha me sitaki kabisaa yongo wana niko hivi.

Oyoki ngai??????
 
Boni!!!!????? Tala ngai, kuanzia juu mpaka chini, am stil elenge mwasi kitoko hapana chezeiya mimi kabisaa.
Nimekuchuna sasahivi unajidai kulialia leka kabisaa....... Am after mbongoo,,,,,, zikiisha tupa kule maswala ya kugandana kwa shida na raha me sitaki kabisaa yongo wana niko hivi.

Oyoki ngai??????
musichana murembo kama wewe,uoneshe mapenzi kwa vijana,miaka yaenda mbio sana na sura yako ikichuchuka
 
Sijakuelewa mkuu Chimbavu labda ufafanue zaidi hiyo sentensi yako ama urudie kuisoma kama iko poa.

Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22). Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
 
nadhani baada ya kukuchuna sana naona umefika wakati maalum wa mimi kukutajia mume wangu japokuwa nilikuficha

copy kwa Asprin hebu nisaidie kumtajia huyo mume wangu ni nani
we ni wangu mama,we ni wangu my boo,ni kitu gani nikupe baby,kama pesa ninazo,albamu hii nimeuza platinum 5 wiki ya kwanza,unataka vogue baby?
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom