Msichana wa kazi

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
807
366
Anahitajika msichana wa kazi za ndani,umri kuanzia miaka 14 hadi 18,nipm tuelewane.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Umeoa? au ndio unataka Mke, tafuta hata wa kiume nikuPM maana huku kuna Wasandawi jiandae lugha
 
tangazo hili la ajira kwa watoto.Adm liondoeni la sivyo sheria ichukue mkondo wake.
 
Umeoa? au ndio unataka Mke, tafuta hata wa kiume nikuPM maana huku kuna Wasandawi jiandae lugha
 
Nenda mitaa ya sinza kwa remmy kuna madalali wana ofisi kabisa unawapatia chao then wanakuletea the next day then after one week anaanza vitimbwi unamfukuza then anarudi ofisini kwao wanaenda kuvuta hela ya udalali tena kwa mwingine kama wewe maisha yanasonga..
 
Back
Top Bottom