Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Houseboy hatakiwi? Niko tayari kwa elf 15.Anahitajika housegirl umri wowote. Atakaa kwa mwajiri. Awe msafi. Mshahara elf 30 kwa mwezi.
Kumbuka kuwa huyu anayelipwa 30 elfu anaishi na familia. Na nahisi ni bora huyu anayelipwa 30 kwa kukaa na familia kuliko anayelipwa 100,000 wa kwenda na kurudi. Huko nje hesabu hasikubali kuishi kwa 100,000 kwa mwezi, lakini pale anapata malazi na chakula, (mara nyengine hufaidika na nguo na zawadi nyengine) na hakuna usafiri.Hivi kweli mtu analipwa 30,000 tu!

Wanasumbua sana siku hizi,mi binafsi kwa mwaka huu wamepita mabei 3 wanne na wameshalala mbele,ukipata wa bush anaweza kaa kidogo.La sivyo uka hire wa kimjini mjini lakini ndo hawatulii,wako ki mishe mishe.

Kumbuka kuwa huyu anayelipwa 30 elfu anaishi na familia. Na nahisi ni bora huyu anayelipwa 30 kwa kukaa na familia kuliko anayelipwa 100,000 wa kwenda na kurudi. Huko nje hesabu hasikubali kuishi kwa 100,000 kwa mwezi, lakini pale anapata malazi na chakula, (mara nyengine hufaidika na nguo na zawadi nyengine) na hakuna usafiri.

Kwa mfano, kiweka usafiri kwa mwezi (3.00X2X30= 18,000); + chakula tuseme 30,000 kwa wastani wa 1000 kwa siku, kodi ya chumba 30,000 minimum; huyu anayelipwa 30,000 tayari kasevu 78,000 kama angelikuwa wa kwenda na kurudi.

Hata hivyo, sikusudii kusema kuwa 30,000 ni nyingi, la hasha. Hawa wa kukaa na familia walipaswa kulipwa angalau 150,000 na wale wa kwenda na kurudi angalau 300,000 kwa mwezi.
Ila wanaibaga ela za mboga..hizo ndio posho zao.
Anahitajika housegirl umri wowote. Atakaa kwa mwajiri. Awe msafi. Mshahara elf 30 kwa mwezi.
Anahitajika housegirl umri wowote. Atakaa kwa mwajiri. Awe msafi. Mshahara elf 30 kwa mwezi.
Hivi kweli mtu analipwa 30,000 tu!

heshima mbele...

fikiria mwajiri wako angetaka kukuajiri, uishi nyumbani kwake na kisha akulipe hizo elfu 30 ungejisikiaje?

tufike pahala tujisikie aibu kutangaza vitu kama hivi......hata kama tunafanya basi na iwe kimya kimya..kutangaza ni sawa na kuona tunachokifanya ni sawa..

tufike pahala tuone kuwa ajira ni msingi wa kumfanya mtu aweze kuishi maisha ya kujitegemea na kinyume chake ni unyonyaji.

nadhani ni haki hasa kwamba hivi sasa imekuwa ni dhiki kubwa kupata mabeki tatu...pongezi kwa shule za kata...pamoja na mapungufu yake lakini zimesaidia kupunguza aina hii ya utumikishaji wa watoto walio katika umri wa kwenda shule...ni matumaini yangu kuwa vitoto hivi vitakapotoka katika shule hizo za kata havitakubali ajira za kinyonyaji kama hii na kama ikibidi basi ni kwa maslahi yenye manufaa kwa maisha yao ya baadae.

najua ntawaudhi wengi lakini huu ndiyo mtazamo wangu.

nawakilisha!