Msichana wa kazi za katibu muhtasi (secretary )anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichana wa kazi za katibu muhtasi (secretary )anahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by bwegebwege, Mar 27, 2011.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  SELU Investments (T) Company Limited ni kampuni mpya inayojishughulisha na Secretarial duties, Internet & Telecommunication Services (Fax, Telephone Services etc). Kmapuni inaa malengo ya ku-expand zaidi na kufanya kazi za Clearing and Forwarding, pamoja na Customs Certificate. Kwa kuanzia tunajishughulisha na Telecomunication Services, Typing, Scanning, Photocopy Sevices, Printing etc...

  Tunahitaji msichana mwenye uzzoefu wa kazi hizo na aliyesomea. Ofisi ipo Clock Tower area

  Kwa mwenye sifaa hizo awasiliane nasi kwa emaail seluinvestments@gmail.com

  Asante

  Mshahara ni maapatano
   
 2. F

  Fay2011 Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru kwa taarifa.
   
Loading...