Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Jamani mimi niko moshi ila nina dada yangu yuko yuko moshi anahitaji msichana wa kazi atakayekaa na mtoto wake wakati akiwa kazini maana yeye ni mwalimu na mume wake ni mwalimu hivyo anashida na dada wa kazi kama yupo tayari ambaye yupo kilimanjaro anipm tuelewane zaidi