Msichana wa kazi ameniweka pabaya sana

Khaa!! Mpime na ngoma bana si unasema ulipiga kavu. Ni ushauri tu :glasses-nerdy:
 
Mkuu usihuzunike sana wewe sio wa mwanzo na hautokuwa wa mwisho hujafa hujaumbika, narudia ushauri wa wengi, waite watu wako wa karibu kama dada, ma mdogo jirani wa karibu, mueleze kwa kina ulichofanya na unachodhani kisha mtafutie house girl makazi mapya ya mbali, muwekee mahitaji muhimu kabla ya kuhamia yaani siku ya kuhamia akute chumba kipo vizuri, nunua vyakula vyote muhimu, jiko la kupigia, vyombo vya kupikia ikiwezekana hata katv kadogo. Utakuwa umemaliza tatizo
 
Mkuu naomba nikusahihishe kidogo,hilo haliwezi kumtokea mtu yeyote,linawatokea wazinzi tu
 
Mkuu naomba nikusahihishe kidogo,hilo haliwezi kumtokea mtu yeyote,linawatokea wazinzi tu

Huyu hajui kuwa vitabu vya dini vimeandika kimbia zinaa.
Ila kuhusu suala lake sijui kwa nini alijirisk kwa kutembea na housgirl kavu kavu, ni hatari sana aisee
 
Khaaaaaa yaani nyinyi wanaume sijuwi vipi tu jamani,unashindwaje kujizuia jamani kwa muda huo mchache,eti anakuvutia,,kwani mwanamke akikuvutia ni lazima ufanyenaye,,,utafanya na wangapi sasa? Ni vipi mkeo naye angekuwa anagegedwa na wanaume wanaomvutia.Khaaaa umenichefuaaaa ile mbaya.Toooh.
Mwanamke mpumbavu ni yule anayeweza kumuacha mumewe na beki tatu ndani.
 
Pole sana. Imeshatokea. Ongea na ndg yako wa kike unayemwamini zaidi. Atakusaidia kuhandle. Mtafutie mahali kabla mkeo hajashtukia. Mwendeshee maisha yake. Ila usirudie.
 
na mabeki tatu wakiwa na uhakika kwamba ndo ya baba mwenye kiota huwa wanaanza kiburi
mara hataki kuwahi kuamka kufanya usafi, mara anapandisha miguu kwenye sofa huku anabadili tu chanel,
Kwakua anakifahamu kitanada cha baba na mama vizuri lazima aweke kiburi mbele
 
Du! kwani ukimwaga mbegu nje hupati ukimwi?
Kitu ambacho kila mwanaume anatakiwa kujua ni kuwa
kabla ya kufika mshindo huwa kuna ute flani unatangulia
kutengeneza mazingira ya mbegu kupita salama
bila kuharibiwa,sasa huu ute wakati mwingine huambatana na mbegu
za kiume na hizi ndo huwa zinasababisha ujauzito usiotarajiwa
kwa watu wenye mazoea ya kumwaga nje
kama njia ya kuzuia mimba.

Ndugu hiyo mimba ni yako wala usilazimishe
huyo binti kutafuta wa kumbambika.
wewe cha kufanya jitahidi kumtengenezea mazingira
ya kujifungua salama na umlee mwanao.
Tamaa ni mbaya ndugu yangu pole sana.
 
Mkuu usihuzunike sana wewe sio wa mwanzo na hautokuwa wa mwisho hujafa hujaumbika, narudia ushauri wa wengi, waite watu wako wa karibu kama dada, ma mdogo jirani wa karibu, mueleze kwa kina ulichofanya na unachodhani kisha mtafutie house girl makazi mapya ya mbali, muwekee mahitaji muhimu kabla ya kuhamia yaani siku ya kuhamia akute chumba kipo vizuri, nunua vyakula vyote muhimu, jiko la kupigia, vyombo vya kupikia ikiwezekana hata katv kadogo. Utakuwa umemaliza tatizo
Mkuu ungemuuliza kama yupo tayari kuwa na nyumba ndogo,
maana hii ni nyumba ndogo.
 
Nakwambia kwa siri mtu asisikie utafungwa. Nunua sumu kali kbsa umuwekee afe na uingie gharama ya kuzika. Kinyume na hapo unalo. Hg wanakuwa watamu na uaitudanganye ulipizz nje. Kinyume na hapo ni pm nikupe ushauri wa ki biblia kuhusiana na wajakazi. Acha woga amua moja kutunza au kuua.
 
Mawazo haya yanatosha mtu kwenda kuungama kwa padri.
Afu tunawakasirikia wanaoua albino ili wapate
pesa,kumbe mpo mliotayari kuua kwa ajili ya uchu wa papuchi?
Nakushauri ndugu tubua haya mawazo yako.
 
Et Ktk hizo siku nilifanya tendo la ndoa Mara 4 na msichana wa kazi.
Hilo nalo ni tendo LA ndoa?
Unaelewa maana ya tendo LA ndoa?
Sema nilizini Mara 4 na msichana wa kazi.
 
dawa yake mpachike mimba juu ya mimba ili akuzalie mapacha kabisa.. DAWA YA MOTO NI MOTO.
 
Back
Top Bottom