Msichana/mwanamke anaependa kwenda club anaweza kua wife material kweli?

Kwenda club kujirusha si kigezo cha kutokuwa wife material. Nawafahamu wengi mtaani ambao wanajirusha clubs na wote ni wife material. Ni dhana potofu tu.

Yes club naenda navigezo vya kuwa wife material,
 
Mwanamke 30+ anayependa kwenda disco na kunywa pombe na kuvaa nusu uchi ujue anakitom.besha. Mimi najua wanawake dizaini hizo tena wameolewa. Usikubali kuwa na mwanamke mpenda starehe na pombe za kila weekend. Kuna wanawake wakilewa kidogo tu unachapa. Na huko club wamejaa team mafisi. Wengine anaaga kwa mumewe anatoka out kumbe anaenda club zuga tu lisaa limoja halafu anachomoka anaenda kugongwa. Mwanamke kutoka out siku moja moja na girlfriends wake mbona poa tu ila kila weekend hapana bwashee unaibiwa.
 
Hao males watakuwa half males labda kama akina james delicious, huwezi kuwa na chain ya rafiki za kiume usiliwe na hata mmoja. Kama bado amini utakuwa huna haiba ya kike ile...upo kama tomboy flani!
Wanawake..wengi wenye kampani za...madume ...huwa hawatoki na mmoja wao kwakua...akishaanza hivyo atawapoteza hao marafiki ......utakuta ana mwanamume tofauti kabisa...na hiyo clique sanasaana yeye atawaunganishia mademu machizi wake

Mnakaa...na demu hadi mida mibaya hadi Rizler mnakunja wote.
 
Back
Top Bottom