Msichana/mwanamke anaependa kwenda club anaweza kua wife material kweli?

Mkuu umekosea

Binafsi napenda sana club, ila sijswahi jua ladha ya pombe, na wala sijawahi vaa utupu

Pili, marafiki zangu wengi ni males, na sijawahi tembea na Rafiki yangu Wa karb Wa kiume

ukienda club hua unakunywa nn mkuu

Hua unavaa magauni/dela/vitenge na kilemba kichwani?
 
Hapo wanaenda na hela yao lakini unawananga hivyo! Siku ukiwadhamini watajikuta front page inumaa.

Kutoka kwa heri sio mbaya sema sio mtu avae mapaja yote nje, matiti nje hapana.

Kuna ambao hawaendi club ila wanagongewa kanisani vile vyumba vya watumishi kubadilishia nguo, vichochoroni, kwenye kitanda chako ukitoka yaani fulu tafrani
 
Mbn wanafaa tu...kwenda club ni mazoea tu ...kuna wanaokwenda kutafuta wanaume na wanaokwenda ku refresh mind tu...wale wanaokwenda kujiuza ndy SHIDA KUOA....kuna wanawake hawaendi CLUB na hawana sifa za kuwa WIFE MATERIAL....kikubwa ukimpata UNAMPA katiba yako..kama anakupenda atafata tu..CLUB sio tabia ni hobby ...tu kama ilivyo SWIMMING..MUSIC...nk
 
Sio kila mwanamuke akienda bar ni Malaya
Sio kila mwanamuke akiingia bar anajiuza
Wapo waendao bar ni kwa starehe zao binafsi
Wengine waenda bar wana mapenzi na WAZEE WA NGWASUMA.
 
Ukipata mwanamke wa mazingira hayo... Ujue na wewe pia ni wa mazingira hayo...

Hata ukimuoa, kwako ni wife material kwa sababu mnaendana...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom