Msichana msomi na asiye msomi yupi wa kuoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichana msomi na asiye msomi yupi wa kuoa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by CHIMPANZEE, Apr 20, 2011.

 1. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Eti jamaa mmoja anasema heri kuoa ambaye hajasoma maana hatamtesa, anadai kwamba wasomi wana majidai, majigambo na najidai kujua sana. Kwa upande wangu naona ukipata msomi na mwenye ufahamu mpana mtasaidiana katika mengi na hatakutegemea wewe tu kwa kila kitu, nimsaidieje huyu jamaa ili anielewe?
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
 3. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  mwambie afumbe macho na achague. kwani mtu unaweza kumwambia mtu ampende nani, si asikilize moyo wake?
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huwezi jua,labda kaenda kwao porini kakuta wame pangwa hapo,..
  mmoja msomi,mwengine sio msomi so anatakiwa achague.....
   
 5. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Muombe mungu akupe mke mwema!
   
 7. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Akifumba macho hatawaona, jibu vizuri acha utani bwana, mimi namaanisha.
   
 8. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni kweli sasa hivi niko porini lakini sio mimi wa kuoa anayeoa ni mwingine na kaniomba ushauri.
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,781
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Mwanamke msomi maana yake nini?

  Mwanamke asiye msomi maana yake nini?

  Nikishafahamu maana nitarudi kukufundisha Elimu ya Ndoa
   
 10. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kwani unaoa usomi au mke?
  ina maana mpaka ujue huyu kasoma au hajasoma ndo uanzishe mahusiano sio?mmh
  mie yangu masikio
   
 11. s

  seniorita JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  cast lots...use Urim and Thumim
   
 12. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  maswali mengine bana....unajua wapo walioacha wasomi wakenda kuoa wasio wasomi wakawaendeleza wakawa mwiba mchungu sana baada ya kupata elimu na kupata maisha bora....mimi nasema,mke mwema mtu hupewa na Mungu,achukue muda awasome wote wawili...aamue mwenyewe kwa kufahamu yupi anampenda zaidi na yupi kati ya hao wasichana anampenda yeye zaidi......!! ningekuwa mwanaume ningeoa msomi anayenipenda kweli na ninayempenda!
   
 13. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kaangalia kamusi utaona maana yake.
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  I love that,hahahaha!
  Hauhitaji kurusha shilingi juu ili ujue nani ata kufaa,Mungu atakuonesha nani atakua mke mwema!
  Najua wengi watakimbilia kusema kua msomi ndo anafaa,...
  ila yawezekana huyo msomi akafanya uishi kama uko ahera na hujafa,..
  Huyo asiye msomi anaweza kua anakupenda kwa dhati,na kama unataka awe msomi ukaweza kumuendeleza kielimu vile vile!
   
 15. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ndi lazima ujue sio kuoaoa tu, tuko pamoja?
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi kumbe unaweza penda zaidi ya mtu mmoja eh?
  Natamani kweli niwe mkubwa haraka haraka nijue mapenzi yakoje
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,781
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Kaangalia Kamusi maana yake nini?
   
 18. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ndio hivo, kuoa lazima uangalie
   
 19. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  unaoa elimu au unaoa mtu?????
   
 20. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Asante michele kwa ushauri mzuri.
   
Loading...