Msichana kaniona mara moja tu kanitongoza. Hivi ni umalaya au uhuru wa kuongea?

UHURU WA KUJIELEZA KWANINI AFICHE HISIA??? AFICHE HISIA ILI IWEJE NA HILI SIO KUJITOA FAHAMU HAPANA ANA HAKI, NASHANGAA HAPA JF NDIO WAPO WANAO JIFICHA ETI ANAONA AIBU KUSEMA. MIMI UKISEMA TU NAKUONA JASIRI HAPO HAPO NAKUPA SH 20,000 ya vocha MPESA. Ahhh msije mkanijaribu sijaribiwi nitajua mkweli.
 
Mbona kawaida tu mkuu kutongozwa na msichana.
Tena sijifikirii hata mara 2. Nikimpenda tu na kuridhika naye, namkubalia kwa herufi kubwa.
 
Aibu duh basi nawe anza kulinga linga huku uking'a kucha na kuchimba chimba chini k
 
Wanaume wa Dodoma hao, hadi serikali yote ihamie huko mtakuwa mmewazidi Wanaume wa dar,,,,,,
 
  • Thanks
Reactions: y-n
".... Ingekuwa amri yangu ningeshauri jando lilirudishwe maana huwezi tofautisha vijana waliopevuka na watoto.... "

Ditopile, 1997
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom