Msichana kaniona mara moja tu kanitongoza. Hivi ni umalaya au uhuru wa kuongea?

jussine

Member
Jul 18, 2016
36
16
Siku moja pitapita zangu kitaa cha Dodoma town niliitwa chemba na binti mmoja ambaye alijitambulisha anasoma CBE.

Alifunguka kuwa ananipenda sana na alikuwa akinitafuta mda mrefu sana. Dahhh nilishindwa chakumwambia akachukua namba zangu so kila time ananisumbua.

Nimjibu vipi jamani?
 
Wengine madume jike dume, si unaona mpaka mwenyewe unashangaa! Maana wanaume ndio tunatabia ya kutongoza hata tusiowajua! Sasa kweli unatongozwa na mwanamke humjui unaumauma vidole tu na kusikiliza nyimbo zinavokuingia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom