Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

Hii inshu huwa ni TATA sana.

Aina hii ya mahusiano huwa inaleta mkanganyiko sana, hasa mnapoanza kuhisiana kutoaminiana.

Ni mapenzi yanayohitaji umakini mno kwa wahusika na kujitambua. Lasivyo mtaishia kudhalilishana.
 
Hapa napokaa kunajamaa kaoa single mother kwakweli anapata shida maana mkewe anamegwa sana na masela na baba mtoto pia aka badu.single mother ni janga la kitaifa

Hii vita dhidi ya single mother haitakuja kuisha maana sisi wanaume ndio tunasababisha uwepo wa single mothers.! Lakini suala la kuchapiwa, hata walioko kwenye ndoa mbona wanaliwa kama peremende yaani. Waoaji oeni, ila tusiwanange sasa hwa watu
 
Mungu akusamehe sana, huenda unachokiandika hapa hukijui.

Msamehe kijana wetu huyu, ndio amemaliza form six na jeshini hajaenda kwahiyo ni mwendo wa kutughasi tu si wakubwa zake. Msamehe kwakweli halijui alisemalo.

Yeye anahisi mtu single mother basi awe cheap yaani, watu wajipie tu yaani. Ameshajua alipokosea hivyo hataki akosee tena. Ipo siku atakuja kuomba samahani siku dada ake au binti akiwa single mother. Hii kitu sio ya kuombea asee maana si kitu ambacho watu walipenda kuwa hivyo.

Japo wapo wachache single mothers wanatabia za Ajabu ambazo zinafanya vijana wa kiume wawaone wote wapo cheap kiasi hicho. Samahani sana Mkuu, kwa niaba yake maana inaonekana uvulana ndio umemkolea.
 
Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana.

Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma.

Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma zenye kubeba maudhui ambayo ni Anti-Single motherhood.

Tatu let me confess one thing, Mara nyingi tunapokuwa tuna jaribu kuwa invalidate singo mazas huwa tunakuwa tume stand in the spirit of " Sizitaki mbichi hizi"

Ulikuwa Una toka na single mother, akakuzingua ukaamua kumuacha au akakuacha yeye Sasa unakuwa unajisemesha shit kuhusu singo mazas Kama namna ya kujifariji kwamba singo maza sio Mwanamke sahihi kwako.

Ni Kama Yanga wenzangu, tunavyo mponda Morrison kwa sababu kaenda Simba.

So we need to style up and stop this kind of nonsense.

Kingine sababu nyingi tunazo zitumia kuwaponda singo mazas ni sababu ambazo zipo valid katika nchi Kama Marekani, Uingereza, Australia nk nchi ambazo mambo Kama child support etc yana bind..

But kibongo bongo tunawaonea Sana singo mazas kwa kuwaponda kwa sababu hizo za singo mazas wa mbele.

Kingine sababu za kibongo bongo ambazo tunazitumia kuhalalisha dhana kwamba singo mazas hawafai kuolewa nazo hazina mashiko pia.

Kwa mfano : UKIWA NA SINGO MAZA JUA ATAENDELEA KUWA ANA TIANA NA BABA WA MTOTO WAKE.

Sababu ya kitoto Sana. Mtu anae toa sababu hii ni kwamba hajawahi kuzaa na Mwanamke halafu Waka break up. Na kama.amewahi Basi alizaa na Mwanamke Malaya.

Mimi ninavyo jua kibongo bongo ukiachana na mwanamke ulie zaa nae huwa mnakuwaga Kama maadui kabisa na ukisikia yupo na Mwanaume mwingine Basi ndio chuki inaongezeka maradufu. So hiyo ishu ya kukumbushia haina mashiko Sana.

Kwa Sisi ambao tunapenda kuwa na watoto wengi, kuwa na singo maza is a guarantee kwamba na wewe atakuzalia watoto cause the proof is backing.

Katika ulimwengu wa kiroho, kwa wale wanao amini katika re incarnation, unapo oa Mwanamke mwenye watoto tayari, ina aminika kuwa there is a very spiritual connection Kati yako wewe na hao watoto. U have just been re United. So hao watoto ni nduguzo katika ulimwengu wa rohoni.. they were ur relatives in Ur past lives so they came back to ur life as it step kids.

Halafu katika habari ya nyota kwenye upande wa riziki, ukiwa na Mwanamke ambae ni single mother Basi riziki za watoto wake zinakuwa zinapitia kwako na Wala Mungu Hawezi kukuacha unyauke. Yule baba alie watelekeza kamwe Hawezi kupewa rizki za hao watoto

Let me clarify here. Njia rahisi kabisa ya kuchukua nyota ya mtu, ni kumfanya mtu huyo akutegemee kwa kila kitu. Riziki ya mtu huyo inakuwa inapitia kwako. Utashangaa Tu Mambo yatakavyo kuwa yanakufungukia.

Nikijiangalia Mimi kabla sijawa na watoto na Mimi baada ya watoto mwenye upande wa rizki, rizki yangu na Mambo yangu ya kifedha yameanza kufunguka maradufu baada ya kupata watoto..

Sijwahi kupungukiwa na kitu.


Back to this blessed single mother.

Who is she ?

Nilijuana na mtoto huyu mwaka 2004. She was 9. I was 19. Nilimaliza form 4 mwaka 2002 nikapata mchongo fulani wa kuingiza vijisent. So nikakomaa mpaka mwaka 2004 August. Nikapanga kurudi shule form five 2005.

Kuna bro mmoja teacher alikuwa amepanga nyumbani kwetu. Huyu akinifundisha shule ya msingi mwaka 1998. Baadae ikaanzishwa shule mpya akawa teacher big. Sasa katika kupiga nas story hiyo August 2004 kuhusu mipango yangu ya kurudi shule mwaka 2005 akaniambia kwa muda huu unaposubiria kuendelea na shule njoo unisaidie kuwapiga chaki madogo. Shule Yale ilikuwa na darasa la kwanza mpaka la tatu. So nikawa nafundisha drsa tatu English na Hesabu.

Hapo kwenye shule hiyo ndo nilifahamiana na hako Ka binti kwa jina la mke wa Adam.

I just loved her. I knew she was going to be a very fine specimen one day.

I told my self that haka katoto kakija kuwa kakubwa katakuwa kazuri Sana. Katoto kazuri kana adabu heshima etc.
( Halafu is only me? Wadada wazuri wote nilio wapendaga utotoni na kujiwekea nadhiri kwamba siku moja watakuja kuwa wangu, karibu wote nimekuja kuwa nao kweli kama nilivyo tamka hata kama imechukua muda mrefu kiasi gani. Na hapo ndipo ninapo kubaliana na maneno ya Mfalme Suleiman kwenye kitabu cha ECCLESIASTES 11:1 -6 anaposema " CAST THY BREAD UPON WATERS FOR THOU SHALL FIND IT AFTER MANY DAYS. GIVE A SERVING TO SEVEN AND ALSO TO EIGHT, FOR THOU SHALL NOT KNOWETH WHAT EVIL COME UPON THE EARTH. IF THE CLOUDS BE FULL OF RAIN, THEY EMPTY THEMSELVES UPON THE EARTH.AND IF THE TREE FALETH TOWARDS THE SOUTH OR TOWARDS THE NORTH IN THE PLACE WHERE THE TREE FALETH, THERE IT SHALL BE )

Fast foward, last 3 weeks nimepata mawasiliano yake tukaanza kuchat na bahati nzuri kakawa kananikumbuka.

Juzi nimetoka nako out kwa Mara ya kwanza.

Kana watoto wawili mapacha wa kike ( 3yrs )

Kanasema baba wa watoto wali break up na Sasa hivi hawakapo pamoja.
( Nilikapeleleza before najua huyo baba watoto wake ni ex husband wake. Kaliolewaga mwaka 2013 baada ya kumaliza shule )

So kamekuwa kademu kangu ingawa bado sijala tunda.

Hiyo juzi nimekaa nako mud mrefu sana. Tumepiga story nyingi Sana mix ma.kiss, cuddling etc.


Kesho yake ambayo ni jana : duka langu moja Kariakoo limeuza sales Milioni 27.

It was a surprise to me and without a doubt I am attributing this blessings to this girl.

Na hapo ndio sijala tunda bado nahisi nikila tunda Mambo yatakuwa mazuri zaidi.

Kaliniambia kaliwahi kufanya kazi Kama cashier kwenye Shell moja ( taarifa nilikuwa nazo pia )

Ngoja Nile mzigo Mambo yakiwa mazuri nakaoa halafu nakaweka dukani kabisa.

Wacha niwahi Kariakoo Nika chukue nguo za watoto wake mapacha nikawekee na muamala.

Mwanamke nyota
Shida unaamini mafanikio yako yanshababishwa na mtu na sio wewe.
 
Sawa tumetambua uongozi kuwa una duka kubwa kariakoo! Hongera sana wanakuja PM huko
 
Back
Top Bottom