Msichana atoweka Marekani akiwa mikononi mwa Balozi

mzurimie

Nchi nyingine mtu ukikosa integrity namna hii unatolewa ubalozi, unajikosesha sifa.

Kama huyu dada kazamia wawatafute rafiki zake wa karibu atakuwa ana mawasiliano nao.
 
Last edited by a moderator:
sasa hili jambo raisi linamhusu nini? si kuna wizara ya maendeleo ya jamii sijui ustawi wa jamii, yaani kesi kama hii ipelekwe kwa raisi, makubwa!
 
Kiranga unawaonaa eeeh....na wenyewe wamejivalia vikaptula wanajog by the river utadhani ndo maza house!

Hahaha, uwakute kwenye ki tram (hapo baba kaenda Turtle Bay) kaa watalii wako Alps huko.

Lakini on the real, muhimu kuwatafuta rafiki zake waseme alipo, tunaweza kusema kazamia kumbe mtoto wa watu amefariki au katekwa na ma bandido wa Ki-Chicano kawa sex slave in somebody's basement.

Scary thoughts.
 
sasa hili jambo raisi linamhusu nini? si kuna wizara ya maendeleo ya jamii sijui ustawi wa jamii, yaani kesi kama hii ipelekwe kwa raisi, makubwa!

Mi naona rais sanasana anatakiwa kuondoa watu wasio na integrity kwenye ofisi za ubalozi.

Mtu unakabidhiwa mtoto wa kazi, anatoroka nchi za watu usitoe taarifa properly kwa familia yake? Wakisema umemla nyama au kumuuza je, utakataa?
 
Hahaha, uwakute kwenye ki tram (hapo baba kaenda Turtle Bay) kaa watalii wako Alps huko.

Lakini on the real, muhimu kuwatafuta rafiki zake waseme alipo, tunaweza kusema kazamia kumbe mtoto wa watu amefariki au katekwa na ma bandido wa Ki-Chicano kawa sex slave in somebody's basement.

Scary thoughts.

most likely ni mzima somewhere looking for better opportunities ... mchagga huyo!
 
Angekuwa mwanao ungechukulia kirahisi hivyo??? Mzazi wake analia vile hana hakika kama binti yake yuko hai au amekufa!

Sasa uchukulie kivipi?

Hivi wewe una akili na udiplomasia kuliko balozi? hivi wewe unaelewa unachokiongea? hivi wewe kuna balozi wa Kitanzania amtelekeze tu mtu apotee, ambae ni mfanya kazi wake?

Funguka japo kidogo.
 
Back
Top Bottom