Msichana atembea matiti nje mitaani! Asema wanawake wana haki ya kutembea vifua wazi kama wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msichana atembea matiti nje mitaani! Asema wanawake wana haki ya kutembea vifua wazi kama wanaume

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kimbweka, Sep 20, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  [​IMG]Moira Johnston, (kulia) hapa akiwa na rafiki yake maeneo ya Union Square NYC. Wote wakiwa matiti nje

  Msichana anayeitwa Moira Johnston ameonekana akitembea matiti nje, bila blouse wala sidiria (topless) katika jiji la New York, Marekani. Moira amethibitisha kwamba anatembea matiti nje kuikumbusha jamii kwamba wanawake wana haki ya kutembea vifua wazi kama wanaume. Kama wanaume. “Natembea topless kuhamasisha hiyo ni halali kwa mwanamke kuwa topless mahali popote ambapo wanaume wanaweza kuwepo bila kuvaa mashati.” Moria aliendelea, “Nimekuwa natembea topless kwa muda wa wiki kadhaa sasa. Nimepata maoni mnyanganyiko.” Alisema kwamba watu wengi wako poa ila kuna wengine wanashangaa sababu hawajazoea kuona wanawake wakitembea matiti nje. Moira anapenda kubadilisha hilo ili iwe kawaida kwa wanawake kutembea matiti nje. Angalia picha kadhaa za Moira akitembea matiti nje mitaani katika ukurasa huu.
  [​IMG]
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  [​IMG]Moira akijivinjari mitaani New York


  [​IMG]Moira Johnston akijivinjari matiti nje mitaa ya New York
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Haya wabongo muige sasa.......
  Mwana dada kawarahisishia sasa.......!!!
   
 4. K

  Konya JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  OMG!! ile heshima,utu,ustaarabu etc wa binadam ulishazikwa kitambo
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Wa huku kwetu wanavibanabana na kuyaachia nusu nusu.....!!
  Waige basi na hiyo........!!!
  Sasa hivi tutaanza kukamatana kama kuku...!!!!
  Aaaiseeeeeeee.......
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Nafikiri yeye ndio kawaiga waswazi, ila kuna ukweli wabongo watamuiga soon; maana kila anachofanya mwenye ngozi nyeupe, hatujiulizi vizuri; twaiga tu hata haya manguo yanayochochea joto! LOL
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  hata bendera ikiwa inashushwa hutokea juu kwenda chini...nina uhakika huyu kitakachofuata ni kutembea bila nguo ya chini
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Aiiiisshhhh!!
  I luv 'em Tits....
   
 9. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama kikatuni!
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  So do I ni99a!
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  joto kali acha apunge upepo
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,272
  Likes Received: 12,989
  Trophy Points: 280
  shetaniiiiiiiiooo
   
 13. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Mh hii kali
   
 14. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kama angekuwa anajua angeenda kuishi New Papua Guinea..
  Kule wanafunika vipochi tu..kwingine wanasasambua..
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,579
  Trophy Points: 280
  kumbe hata wathungu wanayatafunaga yale majani.
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,845
  Trophy Points: 280
  hayo mambo ayafanyie huko huko kwako ulaya
   
 17. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mmmh! Makubwa!
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  "Wanawake wanaweza kutembea vifua wazi (mbele!?) kama wanaume!". I like dhati!
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Haya matiti yetu yanavyovutia jamani! Tukiyatembeza nje si mtagonganisha magari na mtakuwa hamfiki mnakoenda? Msitujaribu, hapa tu tunaonyesha cleavage mnadata! Tukionyesha chuchu itakuwa vurugu aisee!
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Matiti gani hapo sasa? Hayana hata chuchu? Weeh nawe, bhange zimekuharibu macho!
   
Loading...