Msichana anayeishi geto: Niko na mama mdogo ananipa semina, ni mkali hataki nitoke nje

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Pale mwanaume unapo mmendea msichana mwenye umri wa miaka 31 akakubali huku akiwa ana maisha yake anaishi geto na hapo kuna geti, siku nne badae akaanzisha kuwa ana shida na hela, ukamtumishia mpesa, siku nyingine kama juma pili hivi muda wa saa 9 mchana akakwambia nimeishiwa ukamuuliza umeishiwa nini akasema ameishiwa hela ya mboga (kumbuka hamjawahi kufanya mapenzi wala hujawahi muomba penzi) sasa mwanaume ukaamua kwenda sokoni ukanunua nyama na mazaga zaga kibao, ukifika getini unamuandikia sms unamuomba atoke nje mkutane ili umpe mzigo wake na hela ya matumizi ila hajui una mazagazaga ya surpise unasikia anakwambia “ HAPA NIKO NA MAMDOGO ANANIPA SEMINA BABA AMEMTUMA ANIULIZE KWANINI SINA KAZI, HUYU MAMDOGO NI MKALI SANA WALA HATAKI NITOKE NJE, NIRUSHIE TU IYO HELA KWENYE MPESA HALAFU MIMI KESHO NITAKUTAFUTA ILI TUONANE”
Kama mwanaume maamuzi yako yatakuwaje, utafanyaje hapa.
 
aisee....
 
mazagazaga ni surprise yeye si alisema ameishiwa na hela ya mboga au sasa unampelekea sehem ya mboga na hela bado anataka umtumishie kwenye simu yake lol
 
kama hili jambo linatokea muda huu
jiulize kwanini hataki uingie ndani
labda kweli yupo na mama ake mdogo ila huyo mama hataki mkwe kwa binti wa 31yrs ??
jibu ni kuwa ww ni wa pembeni kuna mtu ashatambulishwa tena labda wanapanga mipango ya kitchen party
 
Pale mwanaume unapo mmendea msichana mwenye umri wa miaka 31 akakubali huku akiwa ana maisha yake anaishi geto na hapo kuna geti, siku nne badae akaanzisha kuwa ana shida na hela, ukamtumishia mpesa, siku nyingine kama juma pili hivi muda wa saa 9 mchana akakwambia nimeishiwa ukamuuliza umeishiwa nini akasema ameishiwa hela ya mboga (kumbuka hamjawahi kufanya mapenzi wala hujawahi muomba penzi) sasa mwanaume ukaamua kwenda sokoni ukanunua nyama na mazaga zaga kibao, ukifika getini unamuandikia sms unamuomba atoke nje mkutane ili umpe mzigo wake na hela ya matumizi ila hajui una mazagazaga ya surpise unasikia anakwambia “ HAPA NIKO NA MAMDOGO ANANIPA SEMINA BABA AMEMTUMA ANIULIZE KWANINI SINA KAZI, HUYU MAMDOGO NI MKALI SANA WALA HATAKI NITOKE NJE, NIRUSHIE TU IYO HELA KWENYE MPESA HALAFU MIMI KESHO NITAKUTAFUTA ILI TUONANE”
Kama mwanaume maamuzi yako yatakuwaje, utafanyaje hapa.
mwambie shida yako ni kula mzigo basiiii......
 
kama hili jambo linatokea muda huu
jiulize kwanini hataki uingie ndani
labda kweli yupo na mama ake mdogo ila huyo mama hataki mkwe kwa binti wa 31yrs ??
jibu ni kuwa ww ni wa pembeni kuna mtu ashatambulishwa tena labda wanapanga mipango ya kitchen party
hapo umenena
 
anapoteza tu mda...cha maana amwambie kuwa anataka kumla.... khy demu ataje dau na siku ya kukutana...why ujiangaishe na kwenda sokoni mara cjui nini... we piga mzigo sepa..mwambie demu ataje dau lake na siku uende umle basiii
 
msichana mwenyewe ndiye aliyewatuma watu kuwa anamtafuta mwanaume maaa mara ya kwanza alikataa badae akaamua kumtafuta mwanaume kwa marafiki zake eti anamuomba awe naye sasa kilichotokea ni kingine huende aliye naye ameishiwa akaona arudi kwa huyu ili apate chochote
 
Duuh. Umri huo bado anamuogopa Ma mdogo mbona ni umri wa kuelezea jambo lolote kwa ufasaha na akaeleweka ata kama ni kwa kudanganya. lol
 
msichana mwenyewe ndiye aliyewatuma watu kuwa anamtafuta mwanaume maaa mara ya kwanza alikataa badae akaamua kumtafuta mwanaume kwa marafiki zake eti anamuomba awe naye sasa kilichotokea ni kingine huende aliye naye ameishiwa akaona arudi kwa huyu ili apate chochote
anamtafafuta mwanaume kwa ajili ya hela.........mwambie huyo jamaaa aache ushamba...apige mzgo...
 
Back
Top Bottom