Msichana anapo sena anapo kwambia anaona aibu

huyo atakua bado mdogo na hajaanza mamno hayo
Achana nae tafuta wakubwa ambao hawana aibu
 
Naomba mnisaidie
nina msichana ni rafiki yangu sana, haipiti siku hatuja wasiliana. Lakini hatuja wahi zungumzia ndoa wala any deep relationship. Lakini kinacho nishangaza kuna wakati nikimwuliza kitu aniambia anaona aibu kuniambia.

Siku moja nilimwuliza unasuka msuko gani wa nywele, akanimabia anaona aibu, hata akashindwa kuniambia, siku nyingine akanipa picha, nilipo mwambia nimeziona akasema anaona aibu,

hii kuona aibu inamaana gani hasa. Naombeni msaada

You are blind you can't see, wonder you are even deaf you can't hear.?!. Or even feel for God's sake. . .
 
Yaani umepewa lifti unauliza kama unaweza kulipa nauli......hiyo ni kitola kajaga ganda la ndizi hilo uteleze weweee kama unanawaaaa
 
huelewi kuona aibu ni aje? Ama huelewi kwa nini anakuonea aibu?

Kwenye baoloji hamkufunzwa msichana akipevuka na matiti yake kuanza kusonta zipu za suruwali za wanamme huona aibu?

Boldi: Hebu funguka hapa:majani7:
 
Uzi wenyewe hata heading haisomeki vizuri na contents zenyewe ni za aibu. Na wachangiaji nao tunaona aibu. Ngoja nitoke.
 
dah!! huyo atakuwa mtamu sana kumgegeda maana aibu hadi kuvua chupi umvue...fanya juu chini umgegede huyo mwana

Hahahaaaaaaaaa! Laanakum mkubwa weye!!!!!! Kijana kama Muislam fanya Ukahiji Muscat haraka sana uwe Alhaj, Kama Mkristu fanya utubu na uokoke maana zigo lako la dhambi litakuwa halibebeki!!!!!!!
 
Kaka sijui wewe una taste gani!

Mwenzio I like them SHY!!!!!!!!! Yaani ukishika tu zipu ya sarawili anaangali chini! Ukishika upindo wa mpira wa kiuno cha Boxer Anafunga macho kwa nguvu zote (as if kuna tukio la kutisha litatokea), unahisi anavohema kasi, Ukishika ngozi ya mwili unaona mtu kafunga macho, anahema kasi, anaanza kumeza mate kwa mpigo, na kitetemo juu! Je ukiweka mdomo ----------- Ngoja nisimalizie, malizia mwenyewe.

Naomba wimbo SHY GUY wa Diana King ukuburudishe jioni ya leo
 
Asanteni kwa michango yenu, japo wengi mmechangia uharibifu. Na wengi inaonyesha hamjawaelewa bado wanawake. asante kwa wale waliosema vyema.
 
Duuuh maswali mengine aisee si ya kuandikia uzi!

Bora umeliona hilo kaka, watu wengine wakati wanapost threads ni kama vile walikua kijiweni sasa wazo limemjia ghafla bin vuuu bila hata kushirikisha ubongo kuwazua kwanza...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom